Muda ukifika tutajadili kwanza zoezi tulilonalo ni kuhamasisha wananchi wajue UKAWA na kukataa Katiba ya CCM hatutaki kuanza kupaluana kama CCM kwanza lazima tuunde mfumo mzuri wa uteuzi badala ya fujo
Ila kama umetumwa na CCM pole sisi tutachagua mgombea wetu vizuri hata Mbati au Lwetama[/QUOTE]
Hapo pekundu panahusika, Unachekesha bana, mgombea wenu atakuwa rais wa ukawa au watanzania? Kama atakuwa mgombea wa UKAWA tu basi mteueni Mbatia au Lwetama agombee lakini kama atakuwa wa Tanzania nzima basi mleteni kwa wananchi wote mapema ili wawasaidieni kumjadili na kuwaonyesheni mapungufu yake mapema. Vinginevyo ukawa itashindwa kabla ya uchaguzi kufanyika. Lwetama ni mwl. wangu nafahamu kuwa anawashwa kwenye ubongo wake, analipuka lipuka tu, leo safi kesho balaa