The Analyst
JF-Expert Member
- Feb 26, 2011
- 464
- 246
Wote ni ccm tu wala hakuna tofauti! Kule kwa zitto wala wasipoteze muda!
Kwani Zitto bado yupo Chadema? Mbona naye ameonekana akihutubia wanachama wa kijani na njano huko Nyanda za Juu Kusini?
Wote ni ccm tu wala hakuna tofauti! Kule kwa zitto wala wasipoteze muda!
mkuu.Ni vyema tukajaribu kutafuta na kuujua ukweli. Cuf na NCCR ni wazi wanasubiria serikali ya umoja wa kitaifa.
Ni imani yao kwamba serikali ya umoja wa kitaifa ni jambo la lazima na ni suala la muda. Wao hawaamini kwamba inawezekana CCM kuondoka madarakani ila ni rahisi kuungana nao.
Nasikitika sana. Inatia huzuni kwamba hawa ndio watu ambao watanzania wanatakiwa kuwategemea na kuwaona ni wakombozi.
Mungu ibariki Tanzania. Mungu ibariki CHADEMA.
Ni vyema tukajaribu kutafuta na kuujua ukweli. Cuf na NCCR ni wazi wanasubiria serikali ya umoja wa kitaifa.
Ni imani yao kwamba serikali ya umoja wa kitaifa ni jambo la lazima na ni suala la muda. Wao hawaamini kwamba inawezekana CCM kuondoka madarakani ila ni rahisi kuungana nao.
Nasikitika sana. Inatia huzuni kwamba hawa ndio watu ambao watanzania wanatakiwa kuwategemea na kuwaona ni wakombozi.
Mungu ibariki Tanzania. Mungu ibariki CHADEMA.
Basi nisamehe mkuu.....nilikuwa usingizini.... lakini sasa nimeshaamka na akili iko sawamie nilibahatika kuhudhuria,watu walikuwepo wengi tu ila sio ka nyomi la cdm,
usiseme waliohudhuria walikuwa watoto,
mwana shika adabu yako,
Mkuu.Msando,
Kwa nini unasema kwamba CUF na NCCR ni ''wazi wanasubiria serikali ya umoja wa kitaifa''?
Well, in any case serikali ya ''umoja wa kitaifa'' kwa nchi zetu za Africa imeprove failure. Kiukweli ni kwamba kiongozi/chama kilichoshindwa au kinachoelekea kushindwa kimekuwa kikivihadaa vyama pinzani ili waungane na kuunda serikali ila kimsingi lengo lao ni kuendelea kubaki madarakani na baada ya kushika dola, life goes on as usual.
Mifano ipo hai - Zimbabwe (mvutano wa Mugabe na Tsvangirai), Kenya (vurugu kati ya Odinga na Kibaki) na najua hata Zanzibar Seif Shariff yupo yupo tu na hana say pale.
Ama kweli siasa za Tanzania! Lipumba na Mbatia wanazungukia maeneo ambayo Operation Sangara haijapita -- wakiwaponda Chadema! sasa wako Kigoma!
La kushangaza ni kwamba habari za wawili hao zimebahatika kupata ukurasa wa mbele leo katika gazeti la CCM la Uhuru tu (according to mapition ya magazeti ya Channel 10).
Wawili hawa wanafanyakazi ngumu ya kujibu CDM kwa niaba chama hicho tawala -- kwani wao CCM hawawezi. Sababu moja kubwa CCM hawawezi ni kwamba wenyewe kwa wenyewe wanapingana kuhusu kuijibu Chadema!!
Profesa na Mbatia wamekubali kufanya kazi hiyo chafu na ya kujidhalilisha!!! kwa niaba ya CCM. Profesa anasahau Mbatia huyo alifanya usaliti mkubwa dhidi ya CUF hjuko Pemba wakati wa marudio ya uchaguzi 2004 pale alipoweeka pingamizi kwa wagombea wake na hivyo viti vyote kuchukuliwa na CCM! ANASAHAU KABISA!
Nakiri Profesa alikuwa kipenzi changu sana kisiasa hasa baada ya matukio ya mauaji Pemba ya 2001 walipoonewa na pia wafuasi wake kuuwawa na polisi wa CCM! Lakini anasahau yote hayo!
Kwani akikaa kimya angalau angejitunzia heshima yake iliyobakia kuliko kufanya anachokifanya sasa. Na kama ana ubavu wa kuikabili CDM aende akawapiku kule kanda ya ziwa sangara ilikopita. CCM wenyewe wanaogopa kwenda kule kujibu mapigo.
Lakini pengine kwa uchu wa pesa na jinsi walivyokwishapoteza utu wao inawezekana wakaenda kule kufanya kazi ya Bwana Mkubwa!!
Ni vyema tukajaribu kutafuta na kuujua ukweli. Cuf na NCCR ni wazi wanasubiria serikali ya umoja wa kitaifa.
Ni imani yao kwamba serikali ya umoja wa kitaifa ni jambo la lazima na ni suala la muda. Wao hawaamini kwamba inawezekana CCM kuondoka madarakani ila ni rahisi kuungana nao.
Nasikitika sana. Inatia huzuni kwamba hawa ndio watu ambao watanzania wanatakiwa kuwategemea na kuwaona ni wakombozi.
Mungu ibariki Tanzania. Mungu ibariki CHADEMA.
Msonda, hivi ni Chama kipi cha Siasa ambacho Viongozi wake hawana Lengo la kuwa Watawala? Mi naona tofauti iko Kwenye Strategies tu za kufikia Lengo. Serkali ya Mseto ni Hatua kubwa kwa Chama cha Upinzani kuelekea kushika Madaraka kamili, mfano Mzuri ni pale Nyerere alipopigania TANU ikubali kura ya Mseto ingawa wenzake Wote walikataa, Strategy yake ilikuwa ni kuwa wanaTANU waingie kwenye Legislative Council, japo utaratibu wa Kura 3 haukua wa Haki, Kisha wapate Legal Recognition na Mandate ya kuendesha Harakati zao za kudai Uhuru, walifanikiwa bila Kumwaga damu! Zanzibar kuwa na Serkali ya Mseto, sio Seif kuwa Makamu tu, Bali kuna Wizara kadhaa pia wanaziongoza, they are Halfway Through kushika Madaraka kamili, walijaribu Kuandamana na Kumwaga damu lakini haikusaidia sana. Mbinu za Kibaba zinazotaka kutumiwa na Chadema ili kuwaondoa watawala zilikwisha jaribiwa na Babu zetu kina Mtemi Mirambo, Chief Mkwawa, kina Kinjeketile na Mbinu ya Majimaji Warfare nk Nyerere alikuja na Mbinu ya Kutumia Dialgue na akafanikiwa kupata Uhuru!consultant,
Nimemsikia Prof Lipumba akihutubia Kigoma. Anasema serikali ya kitaifa Zanzibar iheshimiwe na imeleta amani na manufaa kwa wazanzibari. James Mbatia akasupport na kusema hayo hayo.
Kimsingi wanasema inawezekana kufanya kazi na CCM naitakuwa kwa manufaa ya wananchi. Wanataka kufanya
kazi kwa ushirikiano ili kuleta maendeleo.
Wao CCM sio wabaya wana mapungufu tu ya kibinadamu.
Hivyo kwa kuunganisha nguvu wanaamini maendeleo
yatapatikana.
Hiyo ndio sababu nalazimika kujiuliza hawa ni kwamba
wanasubiri kuundiwa serikali ya umoja wa kitaifa lengo ikiwa
na wao wawe watawala!
Ama kweli chadema ndio chama pekee cha upinzani chenye nguvu kwa sasa. Ukiangalia watu waliohudhuria mkutano huo ni wachache ukilinganisha ya cdm kule kanda ya ziwa, ama kweli cdm wanakubalika licha ya shutma zinaenezwa na ccm na washirika wake. Cha ajabu TBC wameripoti mkutano huo lkn hawakuripoti hata ck moja mikutano ya cdm kanda ya ziwa. Ama kweli hii ni TBCCM, cdm songa mbele
Yangu macho Nili mshauri sana Matatiro CUF hakumfai aondoke kabla wananchi hawaja mkatia tamaa hasikii ...................Mtatiro chakula ipo CDM huko uliko njaa itakuua mwachie lipumba kibalaka wa zench aendelee na hilo boya ambalo nusu limesha zama majini