Lipumba Kwishneeeh! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lipumba Kwishneeeh!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kingdom_man, Jul 6, 2011.

 1. Kingdom_man

  Kingdom_man JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2011
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 457
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 80
  Mtu mzima kashahama chama......unafanya mchezo nini!!!!

  263180_117896648302291_100002458688809_153346_3419903_n.jpg
  HTML:
  
  
   
 2. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  uongo na matumizi mabaya ya teknolojia ya picha... hakuna kitu hicho.
   
 3. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Tafuta Avatar ya Genius Brain, utakuta kiongozi mwingine mkubwa tu wa Chama fulani na yeye kajisalimisha CCM
   
 4. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2011
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kumbe nguo nazo ni vyama?
   
 5. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  INAWEZEKANA KWANI HAMADI SHARIF SI YUKO SERIKALINI ZENJI SERIKALI INAYOONGOZWA NA CCM,SO ITS POSIBLE JAMAA KUHAMIA CCM HATA MTATIRO NAE ATAHAMIA TUU NA YEYE SI ANMFUATA LIPUMBA KWA KILA KITU SIKU HIZI MTATIRO NAE ANAONGEA KAMA LIPUMBa
   
 6. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #6
  Jul 6, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  :biggrin1: inawezekana kwa sababu hata wali uliotiwa binzari kuna wanaouita pilau!!
   
 7. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #7
  Jul 6, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kunatatizo?
   
 8. Erick G. Mkinga

  Erick G. Mkinga Member

  #8
  Jul 6, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  karibu NYUMBANI....acha na WAHUNI.....Njoo tuongoze nchi kwa KANUNI na TARATIBU.
   
 9. m

  majiyachupa Member

  #9
  Jul 6, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  mmmmmh napita
   
 10. t

  tufikiri Senior Member

  #10
  Jul 6, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 156
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata Slaa ameshavaa hii kijani. Acha ushamba wewe. Au ilifikiri ile 95 alipohama ccm likuwa amevaa Magwanda? ACHA SIASA ZA MAJI TAKA. HATA HUJAJUA ADUI YAKO NI NANI.
   
 11. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #11
  Jul 6, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  R.i.p.
   
 12. NDIPO

  NDIPO JF-Expert Member

  #12
  Jul 6, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 360
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  achen upotoshaji, tuambie kahamia lin!
   
 13. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #13
  Jul 6, 2011
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135

  Ifike wakati tuwe wastaarabu kwenye maswala ya siasa na maswala ya kijamii ili jf iwe sehemu ya kuelimika na kuburudika na kuacha majungu yasiyo na tija.
   
 14. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #14
  Jul 6, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Mbona usemi na God Lema wa Arusha yupo kwenye ameolewa ndani ya baraza la manispaa inayoongozwa na CCM.
   
 15. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #15
  Jul 6, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  AAgh ! Hizi pumba!
   
Loading...