Wadau, najaribu kufuatilia coverage ya mgombea urais wa CUF, Prof Lipumba...swali ni kwamba, je, hastahili kuonyeshwa au kundikwa kweye magazeti kama wenzake?? Haki sawa kwenye vyombo vya habari ipo wapi sasa??
Huwezi kuwalazimisha waandishi kuandika habari zisizouzika.Wadau, najaribu kufuatilia coverage ya mgombea urais wa CUF, Prof Lipumba...swali ni kwamba, je, hastahili kuonyeshwa au kundikwa kweye magazeti kama wenzake?? Haki sawa kwenye vyombo vya habari ipo wapi sasa??
CCM imegawanyika kwenye makundi 6 ya kampeni, kwanza la JK pili la Bilal tatu la Salma(WAMA) nne la Lipumba tano la Seif(Zanzibar) na sita la Shein, kwa hiyo Lipumba akiona coverage yeyote ya CCM na yake imo(inclusive).Huenda anaongozana na mgombea wa CCM maana sera zao zafanana!
Nadhana Lipumba amefanya kosa kubwa na historia itamhukumu. Baada ya attempts zote 3 hakuwa na sababu ya msingi kuweka jina. Angekuwa amejiunga na wapambanaji kumpigia debe rais mtarajiwa (Dr WPS) angalau angeambulia walau coverage ya kukumbwa na mafuriko. Sasa amejipeleka mwenyewe nje ya mkondo wa maji, anategemea nini? Hata hivyo hajachelewa. He can remake his minds and join the fighters. Vinginevyo watoto wa mjini watamuonyesha ni kiasi gani amefulia.
Hivi Lipumba akigombea hata ubunge ataupata kweli?[/QUOTE]
Hapo kwenye nyekundu inabidi mkuu urejee maneno ya Mkapa 2005 aliposema NA NYIE NANI KAWAAMBIA MTEUE WAGOMBEA WENYE SURA KAMA MAJAMBAZI kwa mtaji huo nadhani jamaa ajipumzishe tu maana hata huo ubunge hataupata