Lipumba hana Kesi ya kujibu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lipumba hana Kesi ya kujibu

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Mwanjelwa, Jan 29, 2010.

 1. M

  Mwanjelwa JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2010
  Joined: Jul 29, 2007
  Messages: 962
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Habari kutoka ndani ya jopo la waamuaji wa kesi ya Liyumba zinasema kwamba Lipumba hana kesi ya kujibu. Hii ilikuwa inategemewa kama ilivyo kesi ya Mramba and company.
   
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,470
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 145
  Check ur facts mazee.
   
 3. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,301
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Sijakuelewa!!! anza upya mkuu
   
 4. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #4
  Jan 29, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,096
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 160
  Lipumba au Liyumba? Na kwa nini hana kesi ya kujibu kama ni yeye Liyumba? Kama ni "Lipumba" sijawahi kusikia kama ana kesi yoyote!
   
 5. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #5
  Jan 29, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,057
  Likes Received: 883
  Trophy Points: 280
  kesi ipi hiyo?
   
 6. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #6
  Jan 29, 2010
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 4,959
  Likes Received: 440
  Trophy Points: 180
  Anamaanisha Liyumba.
   
 7. M

  Mwanjelwa JF-Expert Member

  #7
  Jan 29, 2010
  Joined: Jul 29, 2007
  Messages: 962
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35

  Yes mkuu. Imerekebishwa already
   
 8. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #8
  Jan 29, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 2,897
  Likes Received: 1,551
  Trophy Points: 280
  What??????
   
 9. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #9
  Jan 30, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,500
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  siku zote niliamini kuwa hatimaye ataachiwa huru!

  kwa mtu yoyote anayejua corporate governance, hahitaji hata wakili kushunda kesi alyoshitakiwa liyumba au akina mramba, watashinda tu. kumbuka naibu gavana alivyojiumauma katika ushahidi wake.

  mawakili wa liyumba wanacheza na tricks za corporate governance tu
   
 10. M

  Malyamungu JF-Expert Member

  #10
  Jan 30, 2010
  Joined: Jul 5, 2009
  Messages: 364
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nauliza swali:


  Katika marekebisho ya sheria kumi na tatu yaliyopitishwa na bunge, aliyoyafanya State Attoney hakuna sgeria zitakazowabana wahujumu uchumi hawa wa kesi ya BOT na EPA pia akina mRamba.??

  Mwenye uelewa hapo JF
   
Loading...