Lipumba; CCM bye, bye, bye Tanga.

Lipumba; CCM bye, bye, bye Tanga.

mkigoma

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
1,180
Reaction score
309
mwenyekiti wa Cuf Prof Lipumba hivi sasa akimaliza kuwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Tanga waliojitokeza kumsikiliza katika mkutano wa kuwashukuru wakazi wa mji wa tanga kwa kumchagua diwani wa cuf katika kata ya msambweni, ambapo aliwasili jana saa 10 na kupokewa na umati mkubwa wa wakazi wa tanga ambapo alifanya kazi ya kufungua matawi zaidi ya 50 na leo kufanya mkutano mkubwa wa hadhara ambao haujawahi kutokea,
 
Haki sawa kwa wote

Haki huleta Maendeleo

Haki huleta Amani na Utulivu

CUF chama cha kutetea wanyonge Tanzania, safi sana Lipumba
 
..Uenyekiti wa kudumu wa jopo la wachumi wa dunia amemuachia nani?

..Ugiriki wanamlilia Prof.Lipumba kwenda kuongoza juhudi za kukwamua uchumi wao.
 
CDM tukichukua ikulu Lipumba ata kuwa mshauli wa mambo ya uchumi.

Mbona ameshindwa kuishauri cuf kuondokana na tatizo la tegemezi ya ruzuku kutoka serikalini, kuwa mshauri wa nchi ni bure tu ndio maana hata mheshimiwa Jk kampiga chini
 
Jokakuu unatoa wapi taarifa zako

Tume ya Katiba,

..nilikuwepo uwanja wa ndege kwenye mapokezi ya Prof.

..sasa ndiyo tukaelezwa kwamba Prof alikuwa USA kama mwenyekiti wa kudumu wa jopo la wachumi wa dunia wanaoshughulikia mtikisiko wa uchumi na mfumo wa fedha.
 
kesho yupo kata ya msambweni, kabla kuelekea kusini hadi kanda ya ziwa.
 
Strategically CUF itasaidia sana kuiangamiza CCM kunako 2015 kwa kuzoa kura Lindi, Mtwara, Pwani na Dar. Huku maeneo yote dume chama dume CDM linatumia nguvu ya umma kuiondoa ccm na thereafter ukarabati wa magereza unaanza kwa ajili ya kuwafunga mafisadi wa ccm.
 
Strategically CUF itasaidia sana kuiangamiza CCM kunako 2015 kwa kuzoa kura Lindi, Mtwara, Pwani na Dar. Huku maeneo yote dume chama dume CDM linatumia nguvu ya umma kuiondoa ccm na thereafter ukarabati wa magereza unaanza kwa ajili ya kuwafunga mafisadi wa ccm.

CUF na CDM watagawana kura mkuu!
kisha ccm itashinda kiulaiiiini kwa kuwa katiba ya sasa ni wengi wape, hata kama akishinda kwa zaidi ya kura 1 ndio mshindi huyo!
 
sio mbaya kujifariji, kilichobaki akaeneze chama kule nyumbani kwake, nilikuwa napenda ule uchaguzi wa igunga angekuwepo ili nione angeongea nn
 
wananchi chama chenu, kinawapa haki kuishi kwa kuhimiza rasilimali yetu niyakwetu wa tz hivyo nilazima kila mtz apate gawio la rasilimali inayo chimbwa sasa gaio liingie kwa account yake. Haijalishi acount ya benki ama ya elektronic money kama m pesa au tigo pesa, aitel möney na ezy money
 
Back
Top Bottom