mafimboo JF-Expert Member Joined Oct 9, 2014 Posts 2,415 Reaction score 978 Oct 4, 2016 #1 eti huyu mtu huyu anasema lowasa ndiye tatizo, kampokea mwenyewe kwa furaha na nderemo hapa akijiliwaza naye baada ya kumpokea ona jinsi anavyomsamini
eti huyu mtu huyu anasema lowasa ndiye tatizo, kampokea mwenyewe kwa furaha na nderemo hapa akijiliwaza naye baada ya kumpokea ona jinsi anavyomsamini
Likambaku Senior Member Joined Mar 23, 2015 Posts 177 Reaction score 134 Oct 4, 2016 #2 Prof atakuwa anavuta kitu cha arusha maana hiyo midato yake si ya kawaida.
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 50,110 Reaction score 75,567 Oct 4, 2016 #3 LIPUMBAVU
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 7,520 Reaction score 6,517 Oct 4, 2016 #4 CCM wameshamuweka ndani mchumba/mwali wao Lipumba, hasikii la mtu mwingine zaidi ya sauti toka kwa muua tembo wetu, akisaidiana na Savimbi wa tz.
CCM wameshamuweka ndani mchumba/mwali wao Lipumba, hasikii la mtu mwingine zaidi ya sauti toka kwa muua tembo wetu, akisaidiana na Savimbi wa tz.
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,529 Reaction score 138,473 Oct 4, 2016 #5 PROF MNAFIKI.... OVA
P Percival JF-Expert Member Joined Mar 23, 2010 Posts 4,014 Reaction score 3,110 Oct 4, 2016 #6 in politics there are no permanent friend or enemies
Chakaza Platinum Member Joined Mar 10, 2007 Posts 41,043 Reaction score 74,754 Oct 4, 2016 #7 Sakaya kasema sababu sio Lowasa ila IPO nyingine ndani ya chama ambayo Lipumba hataki kuisema
SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member Joined Aug 25, 2010 Posts 9,539 Reaction score 5,923 Oct 5, 2016 #8 Everybody has a price
Sakasaka Mao JF-Expert Member Joined Sep 29, 2016 Posts 16,070 Reaction score 23,453 Oct 5, 2016 #9 DOUGLAS SALLU said: LIPUMBAVU Click to expand... Mi2c haitkusaidia.
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 50,110 Reaction score 75,567 Oct 5, 2016 #11 Sakasaka Mao said: Mi2c haitkusaidia. Click to expand... Rudi kwenu FB
SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member Joined Aug 25, 2010 Posts 9,539 Reaction score 5,923 Oct 5, 2016 #12 Chakaza said: Sakaya kasema sababu sio Lowasa ila IPO nyingine ndani ya chama ambayo Lipumba hataki kuisema Click to expand... It's just a matter of time ukweli utakuwa wazi
Chakaza said: Sakaya kasema sababu sio Lowasa ila IPO nyingine ndani ya chama ambayo Lipumba hataki kuisema Click to expand... It's just a matter of time ukweli utakuwa wazi