Lipumba ana cheo gani ccm?

Lipumba ana cheo gani ccm?

Lipumba ndani ya ccm anasikika sana kuliko kinana huenda akawa katibu mkuu
 
Kati ya nchi zenye mambo ya kijinga hii yetu imezidi! Yaani Rais naye anaruhusu upuuzi kama huu? Hii nchi bwana!!
 
Ndugu zangu Jpm alitangaza watanzania tuache siasa maana sasa ni kazi tu kwa kauli yake ya hapa kazi tu lakini ccm wanaonekana kubeba mzigo Wa mgogoro Wa CUF kwenye mikutano ya ndani na nje anayoendelea Nayo mwenyekiti Wa CUF anayetambuliwa tu na msajili Wa vyama vya siasa mikutano yake inalindwa lakini Jana tu polisi wakazuia mikutano ya maalim sef Sharif hamadi je ,who is lipumba in Ccm?
Ni mshauri mkuu wa Mwenyekiti wa CCM
 
Ni kweli , amechukua nafasi ya Nape aliyehamishiwa wizarani , lakini wadau wa lumumba wamedokeza kwamba pia ni mshauri wa uchumi wa ccm , wanamtumia kufufua mashirika yaliyokufa ikiwemo SUKITA na Gazeti la uhuru .
Lipumba ni msaidizi wa kinana pia ni mshauri mkuu wa Mwenyekiti wa CCM.
 
Mwenyekiti wa kitengo cha kusambaratisha CUF na CHADEMA. Maagizo aliyopewa toka mamlaka ya juu.

Ndugu zangu Jpm alitangaza watanzania tuache siasa maana sasa ni kazi tu kwa kauli yake ya hapa kazi tu lakini ccm wanaonekana kubeba mzigo Wa mgogoro Wa CUF kwenye mikutano ya ndani na nje anayoendelea Nayo mwenyekiti Wa CUF anayetambuliwa tu na msajili Wa vyama vya siasa mikutano yake inalindwa lakini Jana tu polisi wakazuia mikutano ya maalim sef Sharif hamadi je ,who is lipumba in Ccm?
 
Sef jana alitaka kufanya kikao kilichoandaliwa kinyume na utaratibu.
Aliambiwa kama unataka kuja njoo na viongozi halali sio kamati ya uongozi kajifanya mbishi .
Hata lipumba kuna sehemu hakuenda na wala hakuwa mbishi.
Pia leo ilikuwa wafanye kikao kingine lindi lakini wamehairisha watafanya kesho na watu wa lindi watafanya kama mtwara jana.
 
Ni kada wa chama naetumia staili ya "amsha amsha" na kutoa siri zote za upinzani. Hata huo u-prof. alitunukiwa na Lumumba fc
 
Lipumba ndio mpinzani sahihi ambae anahitajika na CCM!
 
Ndugu zangu Jpm alitangaza watanzania tuache siasa maana sasa ni kazi tu kwa kauli yake ya hapa kazi tu lakini ccm wanaonekana kubeba mzigo Wa mgogoro Wa CUF kwenye mikutano ya ndani na nje anayoendelea Nayo mwenyekiti Wa CUF anayetambuliwa tu na msajili Wa vyama vya siasa mikutano yake inalindwa lakini Jana tu polisi wakazuia mikutano ya maalim sef Sharif hamadi je ,who is lipumba in Ccm?
Hata kama mimi siyo mwanasiasa ila nachojua mpinzani wa nusu ukweli ni Lipumba na Dr Slaa basi.
 
Back
Top Bottom