mwenyekiti wa cuf taifa prof lipumba amemkana mbunge wake juma haji kombo kuwa kauli aliyoitoa bungeni aliposimama kutoa taarifa kwa spika kuwa wao wabunge wa cuf wamejitoa katika kambi rasmi bungeni kwa kuwa hawawezi kuongozwa na mnadhimu asiyekuwa na nidhamu bungeni kuwa ni yake binafsi na si kauli ya chama. Chanzo cha habari gazeti la jambo leo 31/7/2011
lipumba is two faced,usimwamini huyo,leo anact kama mpinzani kesho ccm..hiyo yote mkono uende kinywani..mchumia tumbo.
being two faced ndivyo walivyo watu wengi wa namna yake. Mcheki Malaria Sugu/Mhadhiri, wacheki wabunge wa Cuf, Mcheki Jah-Kaya, Mcheki Bilal na wengine mitaani na wale wanaoshinda na kulala kwenye nyumba zao za ibada, wamekaa kinafiki nafiki tulipumba is two faced,usimwamini huyo,leo anact kama mpinzani kesho ccm..hiyo yote mkono uende kinywani..mchumia tumbo.
haya sasa unaanza kuleta udini tena, lini utakuwa wewe ?being two faced ndivyo walivyo watu wengi wa namna yake. Mcheki Malaria Sugu/Mhadhiri, wacheki wabunge wa Cuf, Mcheki Jah-Kaya, Mcheki Bilal na wengine mitaani na wale wanaoshinda na kulala kwenye nyumba zao za ibada, wamekaa kinafiki nafiki tu
Hapa sijauelewa bado udini uko wapi! hivi ni kweli kuna wanaoshinda na kulala kwenye nyumba za ibada? kama wapo naomba unijurishe maana mimi sijui, na kama wanafanya hivyo je kazi wanafanya saa ngapi?haya sasa unaanza kuleta udini tena, lini utakuwa wewe ?
udini uko wapi mkuu nimetaja dini gani hapa?haya sasa unaanza kuleta udini tena, lini utakuwa wewe ?
ndio maana nikasema he is two faced,..walipokuwa wanazunguka na mbatia na hamad kulaani maandamano ya CDM,alikuwa anatetea maslahi ya taifa au ya ccm??narudia kusema ni mchumia tumbo..shahada zisikutishe..maprofesa wengi wapo kwenye siasa na mafisadi..Mkuu unamfahamu Lipumba au umemjulia majukwaani. Ongea mengine ila kwenye suala la masilahi hapana, fanya utafiti kabla ya kuandika mkuu hii ni JF, usidhani kwa kuwa upo alone kwenye key board basi unaweza andika tu bila facts. Hebu ingia hapa umfahamu huyu bwana kama ni mchumia tumbo. Angekuwa mchumia tumbo asingeingia kwenye siasa za ubabaishaji za Tanzania. http://www.tiger.edu.pl/onas/rada/lipumba.pdf