Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,412
- 283,622
Huku usoni sijui anapaka mafuta Gani,duu halafu kaishiwa angalia hivyo viatu,duu angalia hiyo tshirt,duu hiyo suruali
Ohoooo !!Huku usoni sijui anapaka mafuta Gani,duu halafu kaishiwa angalia hivyo viatu,duu angalia hiyo tshirt,duu hiyo suruali
mbele ya mil 100 ushindi ulikuwa wazi kabisaKwani walikuwa na matumaini ya kushinda Leo?
ππππHuyu baba si aoe binti mdogo ili amuweke soft usoni amuoni mwenzie kapuya kwa Sasa Kawa kijana.
Huyu Professor Haruhusiwi Kula Vitu Vitamu, Unadhani Miaka Yote Hiyo AngeoaHuyu baba si aoe binti mdogo ili amuweke soft usoni amuoni mwenzie kapuya kwa Sasa Kawa kijana.
Kwanza mwenye namba yake anipatie haiwezekani mchumi kama huyu awe chakavyu kiasi hikiππππππππ
Duh!!
πππKwanza mwenye namba yake anipatie hawezekani mchumi kama huyu awe chakavyu kiasi hikiππππ
Huku umekuja kufanya nini mpendwa nenda kule ukatembeze like ππππππ
duh!!Huyu baba si aoe binti mdogo ili amuweke soft usoni amuoni mwenzie kapuya kwa Sasa Kawa kijana.
Napita tu jiraniππHuku umekuja kufanya nini mpendwa nenda kule ukatembeze like πππ