Lipumba akataa kuteuliwa kuwa Mwenyekiti wa mojawapo wa kamati za Bunge

Kwa jinsi hali ilivyo hivi sasa pale Dodoma na mchakato mzima ulivyoanza tangu mwanzo ni wazi kabisa bila mashaka matarajio ya katiba bora ni kidogo sana.Hatua ya prof.Lipumba kujitoa nampongeza sana kwa kuweka maslahi ya nchi mbele.kuburuzwa kwa namna yoyote ile ya baadhi ya wajumbe kwa kisingizio cha wingi wa CCM ni kigezo tosha cha kukosea tangu mwanzo kama waasisi walivyokosea kwa kujifungia vyumbani na kusaini muungano wa nchi kubwa kama Tanganyika na nchi inayolingana na baadhi ya mikoa ya Tanganyika,hii haikuwa sawa tangu mwanzo na nategemea wale wajumbe 200 wakuteuliwa wafanye kitu kimoja muhimu,kuirudisha Tanganyika au wajitoe kwenye hiyo shughuli ya CCM ili tuanze upya.Gharama siyo hoja kwa jambo muhimu kama hili.:A S 13:
 
View attachment 147128

Duh! unafiki mbaya sana Lipumba leo anajifanya kukataa uteuzi huku mambo mengi tu kakubaliana na CCM kama hili la kumpongeza JK Baada ya uchaguzi wa 2010

View attachment 147129

Hawa ni wale wafuasi wa CUF waliokamatwa na kuteswa kule Mtwara kilichosikitisha ni huyu huyu Lipumba baada ya tukio hili alikwenda Ikulu kupeleka malalamiko yake na yeye na viongozi wenzake walijinadi kuwa watafungua kesi juu ya walichofanyiwa hawa ndugu lakini hadi leo Kimya si Lipumba wala Mtatilo waliotia neno tena baada ya kutoka Ikulu.
 
Katika siku ambazo lipumba nimemzalau ni leo unakataa uteuzi kwa hoja ya kijinga eti wajumbe kutoka zanzibara siyo wengi kwenye kamati ya uongozi wakati nafasi zenyewe anazopigia kelele ziko tano kwa mujibu wa kanuni anatakiwa mwenyekiti ateue watu kwa kuzingatia pande mbili za muungano,jinsi na mahitaji maalumu itakwaje wajumbe toka zanzibar wawe wengi pekee wakati kanuni haisemi hivyo.

Hivi unafikiri wewe una akili sana kuliko wengine?wewe ndiye wakudharauliwa kwakutumika na maccm,na kufuata mkumbo,huna maamuzi kama wewe bali wanachosema bwana zako wewe unafuata tu.
 
View attachment 147128

Duh! unafiki mbaya sana Lipumba leo anajifanya kukataa uteuzi huku mambo mengi tu kakubaliana na CCM kama hili la kumpongeza JK Baada ya uchaguzi wa 2010

View attachment 147129

Hawa ni wale wafuasi wa CUF waliokamatwa na kuteswa kule Mtwara kilichosikitisha ni huyu huyu Lipumba baada ya tukio hili alikwenda Ikulu kupeleka malalamiko yake na yeye na viongozi wenzake walijinadi kuwa watafungua kesi juu ya walichofanyiwa hawa ndugu lakini hadi leo Kimya si Lipumba wala Mtatilo waliotia neno tena baada ya kutoka Ikulu.

Hakuna usiku bila mapambazuko!!!!!!
 
Katika siku ambazo lipumba nimemzalau ni leo unakataa uteuzi kwa hoja ya kijinga eti wajumbe kutoka zanzibara siyo wengi kwenye kamati ya uongozi wakati nafasi zenyewe anazopigia kelele ziko tano kwa mujibu wa kanuni anatakiwa mwenyekiti ateue watu kwa kuzingatia pande mbili za muungano,jinsi na mahitaji maalumu itakwaje wajumbe toka zanzibar wawe wengi pekee wakati kanuni haisemi hivyo.

hapo kwenye red sema "itakuwaje". huko ccm kumejaa darasa la saba B wengi sana. siku hizi bwana hata no class anamkosoa PROFF!!!
 
Sasahivi unajifanya umesahau kuwa Zanzibar ni nchi? Kama nafasi ni 5, basi mbili Muungano upande wa BARA, mbili tena muungano upande wa Zanzibar, na hiyo moja ni kwa nchi ya Zanzibar sababu Tanganyika haipo. Huo ndiyo usawa wenyewe.

tarehe 9 december huwa unasherehekea siku ya uhuru wa nchi gani kama tanganyika haipo,na wewe unakuwa kiazi kama wazir mkuu wako anaelia bungeni kama mtoto,eti tanganyika haipo,mnadanganywa na viaz na nyie wa div 5 mnakubali,nikwambie tu kuwa hakuna tanzania bila tanganyika.
 
Katika siku ambazo lipumba nimemzalau ni leo unakataa uteuzi kwa hoja ya kijinga eti wajumbe kutoka zanzibara siyo wengi kwenye kamati ya uongozi wakati nafasi zenyewe anazopigia kelele ziko tano kwa mujibu wa kanuni anatakiwa mwenyekiti ateue watu kwa kuzingatia pande mbili za muungano,jinsi na mahitaji maalumu itakwaje wajumbe toka zanzibar wawe wengi pekee wakati kanuni haisemi hivyo.

Umeamua tu na wewe uonekane umechangia ila hujajua misingi ya Lipumba kukataa hiyo nafasi. Omba ueleweshwe.
 
nampa salute Lipumba,kaonyesha uzalendo wa hali ya juu kwa taifa lake tofauti na mazimwi ya magambani!
 
Hivi tunaposema 'uzalendo' tunakusudia nini hasa! maana...! Ni kama kila mtu ana tafsiri zake juu ya neno hilo.
 
Lipumba anajitambua.Wampe msaliti zzk huwa ni mtu wa kupenda sana vyeo vya kuwa mwenyekiti hata kama anakuwa anatumika na magamba. Anapenda vyeo apewe tu hakuna shida.
 
mchana huu kupitia itv nimeshuhudia lipumba akikataa kata kata kuteuliwa kuwa mwenyekiti wa mojawapo wa kamati za bunge hilo la katiba linaloonekana kuwa la upande mmoja yaani kikao cha ccm lipumba amekataa kabisa kutumika ktk mitego ya ccm hongera sana lipumba huo ndio moyo wa kzalendo hongera sana.watanganyika tutakuheshimu kwa hilo

chanzo itv mchana huu
Ni nani kuteuliwa badala yake?
 
Alichoonyesha lipumba leo ni udhaifu aliokuwa nao mbele ya mabwana zake chadema.
 
mchana huu kupitia itv nimeshuhudia lipumba akikataa kata kata kuteuliwa kuwa mwenyekiti wa mojawapo wa kamati za bunge hilo la katiba linaloonekana kuwa la upande mmoja yaani kikao cha ccm lipumba amekataa kabisa kutumika ktk mitego ya ccm hongera sana lipumba huo ndio moyo wa kzalendo hongera sana.watanganyika tutakuheshimu kwa hilo

chanzo itv mchana huu

tunasubiri vitendo zaidi ya hapo
 
Back
Top Bottom