Kwa mtu msaliti kama huyu kupokelewa kwenye ofisi za chama alichokiacha njia panda ni ujasiri wa hatari sana !
Kule alikokwenda nafsi imemsuta tena
Kwenye kumbukumbu zangu Lipumba hakuondoka CUF bali alijuvua cheo,msiwe wagumu wa kuelewa..Lipumba leo kazungumza na waandishi wa habari akiwa ofisi za CUF kasema mazungumzo yafanyike Zanzibar ili kupata suluhu na Magufuli kama yupo serious na rushwa aanze na walioiba pesa za Escrow kuwapeleka mahakamani...
..Wanachama wa CUF wamempokea vizuri Lipumba na wengi wamejitokeza.. Binafsi naona hata Lipumba 'hakutegemea' UKAWA wangefanya vizuri kiasi hiki na sasa anarudi 'kufaidika' na faida iliyopatikana<br>ya viti vya Ubunge na halmashauri tele
UKAWA walizoshinda.....Ukitazama uchaguzi ulivyotokea ni kama hata UKAWA hawakuwa ready kwa CCM kuondoka....sidhani kama
kuna hata mipango ya namna ya kuendesha manispaa zilizopatikana hasa za Dar...na hata walipoibiwa kura Mbagala na Kigamboni za ubunge sioni hata 'reaction' inayostahili.... watu wa Dar walipiga kura kuitoa CCM completely...
CCM ,UKAWA na kina Lipumba hawakuona this coming...
==================================
Chanzo: Mwananchi
Ruzuku. Wabunge 25+ lazima arudi
Things will never be the same again.
Ukawa wamefanya kila kitu kilicho ndani ya uwezo wao.
Huwezi shindana na mtu mwenye dola na utegemee kushinda.
Labda ulikuwa unamaanisha Ukawa wafanye fujo au waandamane.
Anguko gani hilo kwa jinsi figisu figisu zilizokuwepo masanduku fake ya kura na uchakachuaji wa hali ya juu. Hapo utalaumuje tena wakati mfumo wa democracy kwa nchi za ki Africa unajulikana sio huru na haki. How about Zanzibar ingekua kwa nchi nyingine ningekubaliana na wewe sio kwa Tanzania tunapga kura kutimiza wajibu
Ni kweli na leo ametangaza eti kurudi kabisa anashangaza huyu profesaLipumba leo kazungumza na waandishi wa habari akiwa ofisi za CUF kasema mazungumzo yafanyike Zanzibar ili kupata suluhu na Magufuli kama yupo serious na rushwa aanze na walioiba pesa za Escrow kuwapeleka mahakamani...
..Wanachama wa CUF wamempokea vizuri Lipumba na wengi wamejitokeza.. Binafsi naona hata Lipumba 'hakutegemea' UKAWA wangefanya vizuri kiasi hiki na sasa anarudi 'kufaidika' na faida iliyopatikana<br>ya viti vya Ubunge na halmashauri tele
UKAWA walizoshinda.....Ukitazama uchaguzi ulivyotokea ni kama hata UKAWA hawakuwa ready kwa CCM kuondoka....sidhani kama
kuna hata mipango ya namna ya kuendesha manispaa zilizopatikana hasa za Dar...na hata walipoibiwa kura Mbagala na Kigamboni za ubunge sioni hata 'reaction' inayostahili.... watu wa Dar walipiga kura kuitoa CCM completely...
CCM ,UKAWA na kina Lipumba hawakuona this coming...
==================================
Chanzo: Mwananchi
wasaliti kama hawa hawafai kabisa heri abaki hukohuko alikokimbilia.....Lipumba leo kazungumza na waandishi wa habari akiwa ofisi za CUF kasema mazungumzo yafanyike Zanzibar ili kupata suluhu na Magufuli kama yupo serious na rushwa aanze na walioiba pesa za Escrow kuwapeleka mahakamani...