lips shine

RAYHAN

Member
Joined
May 12, 2013
Posts
21
Reaction score
9
jamaa mmoja alikuwa na wivu sana na mkewe kila sehemu atakayo pita anasikia watu wakimzungumzia,siku moja akanunua lipshine na kuimimina yote iliyo kuwepo na kuweka super glue ndani ya ile chupa na kwenda kuiweka sehemu anayo tumia mkewe,muda wa kujilemba mkewe ulipo fika akamaliza kilakitu kilicho bakia ni lips shine hapo kilichotokea ......................
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…