Li ngunda ngali JF-Expert Member Joined Jun 22, 2023 Posts 727 Reaction score 2,685 Aug 12, 2024 #1 Lini mlishuhudia kaabiri kwenda nje na kurejea siku lilelile!? Lini alidumu na kuzunguka kwake kutafuta na kupima upepo wa ki siasa kama ilivyo hivi karibuni!? Lazima lipo jambo tena lililo na hofu ndaniye. Mda utasema.
Lini mlishuhudia kaabiri kwenda nje na kurejea siku lilelile!? Lini alidumu na kuzunguka kwake kutafuta na kupima upepo wa ki siasa kama ilivyo hivi karibuni!? Lazima lipo jambo tena lililo na hofu ndaniye. Mda utasema.
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,600 Aug 12, 2024 #2 Acha uwoga 🐼
TAI DUME JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 11,196 Reaction score 30,750 Aug 12, 2024 #3 Kwani baada ya kutoka kuapisha ameenda wapi?
The Palm Beach JF-Expert Member Joined Dec 30, 2015 Posts 4,082 Reaction score 10,971 Aug 12, 2024 #4 Asante CCM said: Lini mlishuhudia kaabiri kwenda nje na kurejea siku lilelile!? Lini alidumu na kuzunguka kwake kutafuta na kupima upepo wa ki siasa kama ilivyo hivi karibuni!? Lazima lipo jambo tena lililo na hofu ndaniye. Mda utasema. Click to expand... Umeandika nini hapa..? Mbona hii ni kama meseji kwenda kwa hawara yako na bila shaka imekosea njia na kutua kimakosa JF, au siyo wewe Asante CCM ?
Asante CCM said: Lini mlishuhudia kaabiri kwenda nje na kurejea siku lilelile!? Lini alidumu na kuzunguka kwake kutafuta na kupima upepo wa ki siasa kama ilivyo hivi karibuni!? Lazima lipo jambo tena lililo na hofu ndaniye. Mda utasema. Click to expand... Umeandika nini hapa..? Mbona hii ni kama meseji kwenda kwa hawara yako na bila shaka imekosea njia na kutua kimakosa JF, au siyo wewe Asante CCM ?
Li ngunda ngali JF-Expert Member Joined Jun 22, 2023 Posts 727 Reaction score 2,685 Aug 12, 2024 Thread starter #5 TAI DUME said: Kwani baada ya kutoka kuapisha ameenda wapi? Click to expand... Karejea kwake mbio isivyo kawaida yake!
TAI DUME said: Kwani baada ya kutoka kuapisha ameenda wapi? Click to expand... Karejea kwake mbio isivyo kawaida yake!
Li ngunda ngali JF-Expert Member Joined Jun 22, 2023 Posts 727 Reaction score 2,685 Aug 12, 2024 Thread starter #6 johnthebaptist said: Acha uwoga 🐼 Click to expand... Miye huyu? Sina cha kupoteza baada ya JPM.
Li ngunda ngali JF-Expert Member Joined Jun 22, 2023 Posts 727 Reaction score 2,685 Aug 12, 2024 Thread starter #7 The Palm Beach said: Umeandika nini hapa..? Mbona hii ni kama meseji kwenda kwa hawara yako na bila shaka imekosea njia na kutua kimakosa JF, au siyo wewe Asante CCM ? Click to expand... Pole!
The Palm Beach said: Umeandika nini hapa..? Mbona hii ni kama meseji kwenda kwa hawara yako na bila shaka imekosea njia na kutua kimakosa JF, au siyo wewe Asante CCM ? Click to expand... Pole!
Pendaelli JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 12,940 Reaction score 38,035 Aug 12, 2024 #8 Hivi hio safari nyingine ni lini kati ya siku mbili hizi ?
Li ngunda ngali JF-Expert Member Joined Jun 22, 2023 Posts 727 Reaction score 2,685 Aug 12, 2024 Thread starter #9 Pendaelli said: Hivi hio safari nyingine ni lini kati ya siku mbili hizi ? Click to expand... Hivi karibuni.
Pendaelli said: Hivi hio safari nyingine ni lini kati ya siku mbili hizi ? Click to expand... Hivi karibuni.
Pendaelli JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 12,940 Reaction score 38,035 Aug 12, 2024 #10 Asante CCM said: Hivi karibuni. Click to expand... Ajaliwe kwenda na kurudi salama .