Lipi ujinga zaidi???

yani ni madeko kwa kwenda mbele ndo nimetoka kumpa supu hapa, haya ntakungojea
Hahaha! Yaani na hivi unampa supu, ndio hatapona kabisaaa! Anza kumkorogea uji wa limao!..lol.

Kwenye manunuzi yako ya leo matunda usiweke ntakuja nayo jioni.
 
uji kanywa jana,wee anapenda supu ya mkia atapona tu kamaliza mabakuli mawili hapa
 
Hahaha! Sipati picha mgonjwa anatoka kuugua kanenepa... Ila inafurahsha mgonjwa akila asee, usiombe uuguze mgonjwa ambae hana apetite!!
 
Ujinga zaidi kuomba sim Banking ya CRDB ilete mvua wakati wa kiangazi.
 
Uko kwenye gari inamziki mkubwa halafu umeweka hedifoni masikio unasikiliza radio ya kwenye simu huwa sielewi kabisa
 
Namba 5 ni ujinga na ubahili wa kurithi aisee! Mwingine anaweka kidole pakukatia kbs, ka vile yy ndo aliyepiga.
 
Mie nikimpgia mtu afu akakata namgia tena namwuliza mbona umekata kwani umepiga wewe? Nna dadangu ana hiyo tabia, hujamaliza neno la mwisho anakata wakati hajapiga yeye.

Nje ya mada: naona umerudi kimya kimya! Hubishi hodi weye? Mbona kuondoka uliaga! Naimani hujambo.
 
unamnunulia mumeo boxers za kufanana kaa seti hivi, halafu akilalamika unamuuliza kwani kuna ubaya gani? Anakujibu eti 'watu' watadhani yeye anavaa hiyo hiyo kila siku!
 
kukubali kuoa/kuolewa afu unamnyima mwenzio u-house.
 
Huwa anavua suruali ofisini
au wanatumia open door policy kwenye choo cha ofisini?

Namniga.

unamnunulia mumeo boxers za kufanana kaa seti hivi, halafu akilalamika unamuuliza kwani kuna ubaya gani? Anakujibu eti 'watu' watadhani yeye anavaa hiyo hiyo kila siku!
 
hili swali nililisikia jana XXL clouds FM...! 😛oa
 
unamnunulia mumeo boxers za kufanana kaa seti hivi, halafu akilalamika unamuuliza kwani kuna ubaya gani? Anakujibu eti 'watu' watadhani yeye anavaa hiyo hiyo kila siku!
Huyo mume atakuwa havai sarawili au?.. Ana lake jambo lol.
 
unamnunulia mumeo boxers za kufanana kaa seti hivi, halafu akilalamika unamuuliza kwani kuna ubaya gani? Anakujibu eti 'watu' watadhani yeye anavaa hiyo hiyo kila siku!

Mwe....jamani!!
 
He watu watajuaje kama anavaa hiyo hiyo kwani havai suruali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…