Lipi la Kweli Kuhusu Brigedia Mosses Nnauye?

Lipi la Kweli Kuhusu Brigedia Mosses Nnauye?

1. Kwamba alichukuliwa kuwasaidia Wamarekani na akauwawa kwenye uwanja wa mapambano nchi za Arabuni
2. Kwamba alirudi Tanzania na akafariki katika Hospitali ya Lugalo baada ya kuugua

alikatwa kichwa afgahnistan na wataleban na mwili uliletwa bila kichwa ndo maana kama unakumbuka mazishi yalifanyikiwa kwa makamba by then rc dar na hakuna aliyeona sura ya mwisho...muulize nape
 
alikatwa kichwa afgahnistan na wataleban na mwili uliletwa bila kichwa ndo maana kama unakumbuka mazishi yalifanyikiwa kwa makamba by then rc dar na hakuna aliyeona sura ya mwisho...muulize nape
Hii niliisikia nikadhani porojo!!
 
alikatwa kichwa afgahnistan na wataleban na mwili uliletwa bila kichwa ndo maana kama unakumbuka mazishi yalifanyikiwa kwa makamba by then rc dar na hakuna aliyeona sura ya mwisho...muulize nape[/QU

Mpiga kinanda na mambo ya vita vya Afghan wapi na wapi?. Au alienda kuburudisha Black Walter!!!!!. Naona like father like son. Nape anakung'uta gitaa kwa kwenda Mbele
 
1. Kwamba alichukuliwa kuwasaidia Wamarekani na akauwawa kwenye uwanja wa mapambano nchi za Arabuni
2. Kwamba alirudi Tanzania na akafariki katika Hospitali ya Lugalo baada ya kuugua
Niliwahi kusikia kuwa alichinjwa vibaya na waarabu wakati wa vita vya wamarekani na wairaq.
 
hakuwa na lolote zaidi ya kuimbisha Kwaya, kwa uzinzi alikuwa hajambo. Kuwadi wake mkubwa alikuwa mzee Ubiya Hassan mpiga kinanda wa kama sikosei JKT Taarab, muda mwingi usiku alikuwa anaonekana nyumbani kwa Mzee Ubiya mtaa wa Kariakoo kona na mtaa wa Congo ambapo mimi nilikuwa naishi karibu na hapo, ni miwaya tu kwenda mbele kwani wanawake na wasichana wa mitaa ile wengi wameathirika kwanza kwa sababu ya kuwepo Clabu ya Yanga na pili uroho wa kupenda beer na hasa hapo Congo bar na DDC Kariakoo.
 
Kabembe,
Umeongea mkuu, ndio dingi yake haswa mengine fwamba!
 
Alikuwa manju jeshini na alifia hapa tz. Msiba ulikuwa kwa makamba walisema hakuwa na nyumba ya kuishi.
 
NN hawezi jua habari za Brig, maana yey alikuwa mafichoni mpaka alipotaka kuingia kwenye ulingo wa siasa ndo akaanza kutafuta babayake ni nani. Labda tu mu-PM Makamba atujuze.
Jamani mnahangaika nini wakati kinda lake limo humu humu jf, si mmuulize tu atujuze ukweli wote?
 
Alikuwa mshauri wa mambo ya siasa wa rais Mkapa, akichukua nafasi ya Ngombale Mwilu aliyewekwa kando na mzee Mkapa baada ya kumpotosha juu ya watu fulani (group interest).
Baaday Brig Nnauye akaanza kuumwa umwa na akaamua kukaa kando baada ya afya yake kuanza kuzorota.
Alifariki aiwa hospital ya Lugalo(kama sikosei) baada ya kuumwa kwa Muda mrefu.
Katika kipindi chote cha kuumwa kwake YusufMakamba ndiye alikuwa mtu wakke wa karibu sana na hata msiba ulifanyika nyumbani kwa Makamba.
Makamba ni mtu na shemeji yake!!!Na makamba na Nape Hawaivi chungu kimoja kwakuwa mamayake nape walitaka adhulumiwe na wakamtenga Nape na makamba ndo alikuwa msimamizi wa show!!!!
 
Kulikuwa na dili gani la kupeleka mwanajeshi wa ngazi ya juu kama yeye ambaye profession yake ni Quior Mastaa? Na Taleban walimwona threat kiasi hicho? Au alikuwa anaconspire akastukiwa?
 
Makamba ni mtu na shemeji yake!!!Na makamba na Nape Hawaivi chungu kimoja kwakuwa mamayake nape walitaka adhulumiwe na wakamtenga Nape na makamba ndo alikuwa msimamizi wa show!!!!

Makamba si alikuwa tu RC DAR ama na uswahiba wa kidepodepo ulipita humo? Je mmesoma post za wengine? Kuwa alikatwa kichwa? Ama ilitungwa hiyo kuficha matendo yake ya gizani yaliyopelekea maradhi na hatma ya kifo chake?
 
Alichakanua sana nje ya ndoa ndo Nape akawa zao la huo uchakanuaji,Illegitime Son
Huyo ni assist tu, ni mtoto wa rafiki. Wazee wetu wa zamani walujua kubebeana Mapungufu. Anachukua mtoto wa rafiki yake hadi kumpatia majina ya kwao na j8na lake la ukoo.
Wengine walificha watoto wao kwa style hiyo ili Village people wasiwajue watoto wake wote
 
Watu wanawaza maandamano, wewe unatuletea issue za marehemu ambae keshasahaulika . Hebu tuache ubongo bongo wa kinafiki.
 
Back
Top Bottom