princess enny
JF-Expert Member
- May 27, 2012
- 1,038
- 381
tukio lipi la ajabu lililowah kukutokea ambalo hadi leo huamini!!??
mfano: mi nliwah kuibiwa simu then baada ya siku tatu yule mtu akanirudishia ile simu na kuniomba msamah!!
wewe je!!??
nahis anajfunza maana aliniomba msamaa hadi nkamuonea huruma!!Huyo mwizivalikuwa anajifunza kuiba au anafanana na jambazi la kova.
teh teh teh!!! we nawe ukamkataa eti unamtest back now unamtaka tena nae hakutaki for real now!!Mimi niliwahi kumtongoza princess enny akanikataa halafu baadae akaja kunifuata mwenyewe akaniambia eti alikuwa ananipima ila ki ukweli ananipenda kutoka mfukoni mwake.
teh teh teh!!! we nawe ukamkataa eti unamtest back now unamtaka tena nae hakutaki for real now!!
ngoja nkukorogee bamia!! bigijii itakuchelewesha!! hukumbuki nlikubamba la sita B na yule mdada!!Khaaaa!!! Jamani kweli princess enny unanitosa kabisa mimi wakati tumecheza wote kombolela, ule mchezo wa baba na mama na kujificha kwenye majumba mabovu...Hukumbuki siku ile tulipokuwa tumejificha kwenye jumba bovu nkataka kukupaka dawa kwenye nanihiii tukakutwa?
Hukumbuki enzi zile tilivyokuwa primary tulivyofunga ndoa ya kitoto tukapika maandazi na chapati tukakoroga na juice cola tukasherehekea? Sasa hivi ndio unanikana jamani...usinifanyie hivyo...ukinitosa mimi naenda kujinyonga na bigijiii.
ngoja nkukorogee bamia!! bigijii itakuchelewesha!! hukumbuki nlikubamba la sita B na yule mdada!!
c unamlisha mihogo!!mie mbona sikumbuki? Ulinibamba tukiwa tunafanyaje?
c unamlisha mihogo!!
kitovu na unyayo!!!!!!!!!!!teh teh teh!!! Hiyo mimi nimesahau...mie nakumbuka siku ile ulivyoniita uchochoroni ukaniambia eti unataka kunionyesha kitovu chako.
kitovu na unyayo!!!!!!!!!!!
khaaaa!!! Jamani kweli princess enny unanitosa kabisa mimi wakati tumecheza wote kombolela, ule mchezo wa baba na mama na kujificha kwenye majumba mabovu...hukumbuki siku ile tulipokuwa tumejificha kwenye jumba bovu nkataka kukupaka dawa kwenye nanihiii tukakutwa?
Hukumbuki enzi zile tilivyokuwa primary tulivyofunga ndoa ya kitoto...
teh teh teh!!! hii nyingine!!hivi hiyo avatar yako mpya ndio ile niliyokupiga siku ile wakati nataka kukupaka dawa nini?
teh teh teh!!! hii nyingine!!
teh teh teh!! Ruhazwe JR pole!!! charminglady shostito njoo uskie umbea huku!! mwanao katoboaje siri leo!! Erickb52 njoo umsalmie mtoto wa boss!!mimi niliwahi kumpenda charminglady nikamtongoza ki-jf tukiwa hatujuani kumbe kuja kufatilia ni mama yangu mdogo,mpaka leo yeye ajajua lolote.
Tukio lingine ni ambalo siwezi kulisahau,siku zote sikujua kama Erickb52 ni mfanyakazi wa bustan nyumbani kwa mzee wangu.