Lipi la ajabu?

princess enny

JF-Expert Member
May 27, 2012
1,038
379
tukio lipi la ajabu lililowah kukutokea ambalo hadi leo huamini!!??
mfano: mi nliwah kuibiwa simu then baada ya siku tatu yule mtu akanirudishia ile simu na kuniomba msamah!!
wewe je!!??
 
Huyo mwizivalikuwa anajifunza kuiba au anafanana na jambazi la kova.
 
teh teh teh!!! we nawe ukamkataa eti unamtest back now unamtaka tena nae hakutaki for real now!!

Khaaaa!!! Jamani kweli princess enny unanitosa kabisa mimi wakati tumecheza wote kombolela, ule mchezo wa baba na mama na kujificha kwenye majumba mabovu...Hukumbuki siku ile tulipokuwa tumejificha kwenye jumba bovu nkataka kukupaka dawa kwenye nanihiii tukakutwa?

Hukumbuki enzi zile tilivyokuwa primary tulivyofunga ndoa ya kitoto tukapika maandazi na chapati tukakoroga na juice cola tukasherehekea? Sasa hivi ndio unanikana jamani...usinifanyie hivyo...ukinitosa mimi naenda kujinyonga na bigijiii.
 
Last edited by a moderator:

ngoja nkukorogee bamia!! bigijii itakuchelewesha!! hukumbuki nlikubamba la sita B na yule mdada!!
 
khaaaa!!! Jamani kweli princess enny unanitosa kabisa mimi wakati tumecheza wote kombolela, ule mchezo wa baba na mama na kujificha kwenye majumba mabovu...hukumbuki siku ile tulipokuwa tumejificha kwenye jumba bovu nkataka kukupaka dawa kwenye nanihiii tukakutwa?

Hukumbuki enzi zile tilivyokuwa primary tulivyofunga ndoa ya kitoto...

unanikumbuka ila tu unaleta ukaidii, mimi ni yule yulee tuliosoma wote kidato kimoja hi hii hiiii......!!
 
Last edited by a moderator:
mimi niliwahi kumpenda charminglady nikamtongoza ki-jf tukiwa hatujuani kumbe kuja kufatilia ni mama yangu mdogo,mpaka leo yeye ajajua lolote.
Tukio lingine ni ambalo siwezi kulisahau,siku zote sikujua kama Erickb52 ni mfanyakazi wa bustan nyumbani kwa mzee wangu.
 
teh teh teh!! Ruhazwe JR pole!!! charminglady shostito njoo uskie umbea huku!! mwanao katoboaje siri leo!! Erickb52 njoo umsalmie mtoto wa boss!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom