chikambabatu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,382
- 1,349
Uhakiki una maana gani? Kama utasababisha mazao kupungua, watoto kuto kwenda shule.
Yeye mwenyewe anatamba kuwa hapangiwiYani hutu jamaa ang'olewe tu. Kabaki kujaza vyoo vya magogoni
Walipoichagua ccm walijua wanawakomoa watanzania sasa hacha na wao wakomoke.Inadhihilika mkulima ajasaidiwa na ununuzi huu wa korosho.
Ni kweli wakangomba wapo na ni wachache, mnawatafuta kwa gharama ya wakulima ndio wanaoteseka.
Na ukweli kangomba haiwezi kufa, kwa kuwa watu wanashida za kweli, na chake ndio mtu utatulia matatizo yake.
Sasa wakulima huku kwetu wanauza vyeti, wapate fedha ili wapeleke watoto shule, wanunulie pembejeo na kulipa vibarua. Wasipofanya hivyo, hawata kuwa hata na chakula kwa siku za baadae,
Mimi sielewi wenyedhamana na malipo wanafikiri nini?
Hawa waendelee kusulubishwa,maana waligomea ile bei ya 2500 mnadani..walidai wanataka 4000 kama ya kipindi cha nyuma..Mmeyataka wenyewe, waliokuwa na akili zao walijiuzia korosho kwa 2500 had 2800. Waliobaki wakawaamini wanasiasa. Sasa imekula kwenu, huyu jmaa hanaga huruma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchochezi!Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mishahara.
Sent using Jamii Forums mobile app