Baadhi ya makocha na wachezaji wa zamani wamemzungumzia Messi Kwa aina tofauti:
๐๐ข๐๐ก๐๐๐ฅ ๐๐ฐ๐๐ง: "Sifikirii mtu yeyote anaweza kucheza mchezo wa soka kama vile Messi."
๐
๐ซ๐๐ง๐ค ๐๐ข๐๐๐ซ๐ฒ: "Messi ni darasa. Kuna yeye, halafu kuna wengine."
๐๐๐ฆ๐ฎ๐๐ฅ ๐๐ญ๐จโ๐จ: "Lionel Messi ni Mungu, kama mtu na hata zaidi kama mchezaji."
๐๐๐ฏ๐ข ๐๐๐ซ๐ง๐๐ง๐๐๐ณ : "Ni wazi kuwa Messi yuko katika kiwango cha juu kuliko wengine wote. Wale wasioona hayo ni vipofu."
๐๐๐ซ๐ฅ๐๐ฌ ๐๐ฎ๐ฒ๐จ๐ฅ: "Lionel Messi yuko juu kuliko kitu kingine chochote ambacho nimewahi kuona. Yeye ni mgeni."
๐๐ข๐๐ ๐จ ๐๐๐ซ๐๐๐จ๐ง๐: "Nimeona mchezaji ambaye atarithi nafasi yangu katika soka la Argentina ni Lionel Messi. Messi ni gwiji."
๐๐จ๐ฌ๐ ๐๐จ๐ฎ๐ซ๐ข๐ง๐ก๐จ: "Messi anapokuwa na mpira, mmoja mmoja, umekufa."
๐๐ฎ๐ข๐ฌ ๐๐ง๐ซ๐ข๐ช๐ฎ๐: "Bila shaka, Lionel Messi ndiye bora zaidi duniani kwangu."
๐๐๐ฉ ๐๐ฎ๐๐ซ๐๐ข๐จ๐ฅ๐: "Usiandike kumhusu, usijaribu kumwelezea. Mtazame tu!"
๐๐๐ซ๐ ๐ข๐จ ๐๐ ๐ฎ๐๐ซ๐จ: "Nimekuwa Ulaya kwa miaka 15 na sijaona mtu kama Messi, hakuna mtu anayekaribia!"
๐๐๐ซ๐๐จ ๐๐๐ง ๐๐๐ฌ๐ญ๐๐ง: "Cristiano ni mchezaji mzuri, lakini wale wanaosema yeye ni bora kuliko Messi hawajui lolote kuhusu soka."
๐๐ข๐จ๐ซ๐ ๐ข๐จ ๐๐ก๐ข๐๐ฅ๐ฅ๐ข๐ง๐ข: "Ili kumzuia Cristiano Ronaldo, inabidi umzuie asipate mpira kwenye kisanduku, Ili kumzuia Lionel Messi, unatakiwa kuomba, maana hazuiliki."