masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,409
- 14,116
View attachment 70848
Ukiona kwenye bango hao Linza Concrete Desugns ujue kuna vitu vya ku-collapse, kama hili jengo mitaa ya Mbezi Beach.
nadhani watu wana matatizo binafsi na linza then wanaleta hapa tuwasaidie kukuza mgogoro wao kwa kuwasupport,ujenzi una taratibu zake na kuna architect,str.eng,contractor na kila mmoja anamajukum yake ili kufanikisha ujenzi.bt people seem to be biased!
Tuache uvivu wa kufikiri.
Na ninavyowafahamu ma-engineer, kila step ya kazi inakaguliwa na kupitishwa.
Sasa jengo limecollapse hicho kinachoonekana kuwa kipaa na nguzo.
Sasa bias iko wapi.
Nyie ndo ma-engineer mnaoingia siasa badala ya kufanya kazi ya uhakika.