Linza Concrete Designs-that collapse!!!!!

Linza Concrete Designs-that collapse!!!!!

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2008
Posts
4,773
Reaction score
2,383
IMG_2165.JPG
Ukiona kwenye bango hao Linza Concrete Desugns ujue kuna vitu vya ku-collapse, kama hili jengo mitaa ya Mbezi Beach.
 
Mkuu utakuwa na conflict of interest.
Kuna mambo mengi sana yanayoweza kuleta athari kama hiyo.
Ku-prove unalosema ungeleta majengo walau kama matatu YALIYOPOROMOKA yaliyofanywa na kampuni hii. Najua wana project mamia huko Dsm.
 
Hii picha ina maswali mengi sana ambayo hayatakuwa na majibu hata siku moja, hizo nondo ni kutoka sehemu gani ya hilo jengo, maana slab inaonesha nondo zake bado zipo. Si vizuri kuchafua jina la mtu kwa sababu zako mwenyewe Great thinker!
 
Hawa Linza wasanii, vibao vingi utafikiri project zao lakini ni Contractors makanjanja wanatumia hilo jina kutafutia vibali vya ujenzi manispaa, sijui mwenye kampuni huwa anapata kiasi gani!
 
Sioni vizuri lakini kufail kwa jengo kuna mambo mengi sana coz kuna design,construction method,quality of materials,supervision of construction,so whats wrong exactly with Linza,
 
Labda sijaelewa, hapo naona kuna nondo tupu kabla ya kumiminwa zege au concrete.Nyie waandishi wa habari za uzushi kama hizi mnaishia kumwagiwa tindikali usono. Umbeya tu umewajaa!!
 
Nakumbuka Linza walishadondosha jengo Kariakoo kama sikosei miaka ile ya lowassa akiwa waziri mkuu na kuna watu walipelekwa mahakamani kwa kuua bila kukusudia! Sijui kumbukumbu zangu ziko sahihi?? Ama hawa ni Linza Concrete Design Wengine
 
Hawa Linza wasanii, vibao vingi utafikiri project zao lakini ni Contractors makanjanja wanatumia hilo jina kutafutia vibali vya ujenzi manispaa, sijui mwenye kampuni huwa anapata kiasi gani!

unaufahamu utaratibu wa kupata vibali vya ujenzi? au ndo unasukumwa na hisia?
 
Sioni vizuri lakini kufail kwa jengo kuna mambo mengi sana coz kuna design,construction method,quality of materials,supervision of construction,so whats wrong exactly with Linza,

nadhani watu wana matatizo binafsi na linza then wanaleta hapa tuwasaidie kukuza mgogoro wao kwa kuwasupport,ujenzi una taratibu zake na kuna architect,str.eng,contractor na kila mmoja anamajukum yake ili kufanikisha ujenzi.bt people seem to be biased!
 
Hawa jamaa wa Linza naona wanafanya biashara na kuuza jina tuu ila credibilty inashuka
maana kilo tano tuu wanakupa jina
 
Sioni picha vizuri,lakini kwa harakax2 inaonekana balcony walioamua kuibomoa ingawa urefu na upana wake inakuwa vigumu kutambua.anyway utakiwi kui-direct hii kitu kwa engineer,yawezekana client mwenyewe akaamua kubadili style ama weakess ya washikadau wengine.samahani kukuuliza hivi wewe ndio mwenye mali au?
 
kwani bado wanaruhusiwa kufanya kazi ya consultancy hawa jamaa?
 
Mkuu utakuwa na conflict of interest.
Kuna mambo mengi sana yanayoweza kuleta athari kama hiyo.
Ku-prove unalosema ungeleta majengo walau kama matatu YALIYOPOROMOKA yaliyofanywa na kampuni hii. Najua wana project mamia huko Dsm.
Bwana mkubwa collapse MOJA TU, kwa wenzetu inaweza kukuondoa kwenye fani ya ujenzi.

Ni bahati kuwa hii collapse imetokea wakati hata jengo halijakamilika.
Jengo lingekuwa limekamilika na watu wamo ndani ya jengo ingekuwaje kwa maoni yako?
 
Hawa jamaa wa Linza naona wanafanya biashara na kuuza jina tuu ila credibilty inashuka
maana kilo tano tuu wanakupa jina
Hizo ndio hisia za watu wengi, lakini mbaya zaidi je, hao Linza wana mainjinia wa kutosha kusimamia na kukagua miradi yote yenye vibo vyao mjini.
Wasije kuwa janga la kitaifa!
 
Nakumbuka Linza walishadondosha jengo Kariakoo kama sikosei miaka ile ya lowassa akiwa waziri mkuu na kuna watu walipelekwa mahakamani kwa kuua bila kukusudia! Sijui kumbukumbu zangu ziko sahihi?? Ama hawa ni Linza Concrete Design Wengine
upo sahihi mkuu,na walishafungiwa ila cha kushangaza wamerudi tena!
 
View attachment 70848
Ukiona kwenye bango hao Linza Concrete Desugns ujue kuna vitu vya ku-collapse, kama hili jengo mitaa ya Mbezi Beach.

Kwa mtazamo wangu hii slab waliikosea, hivyo wameamua wenyewe kuibomoa ili wairekebishe.Ukiangalia kwa makini utagundua
kuwa hizo Slab hazipo sambamba nyingine zipo kwa ndani kidogo na nyingine zimetokeza kwa nje sentimeta kadhaa.Na hiyo hapo ilijengwa ya kutokeza nje kimakosa ukingalia kwa mpangilio wa Madirisha toka kushoto kwenda kulia au kinyumeche.
 
Linza hawajawahi kudondosha jengo hapa TZ, hata wakati ule bodi ya wahandisi(ERB)ilipowasimamisha ilikuwa ni majungu tu eti kwanini ana kazi nyingi na anaziendeshaje na ile issue ikaisha na mpaka leo anaendelea na kazi,nadhani mtuma habari hii ana chuki binafsi na inabidi afanye utafiti kabla ya kupost.na ujenzi ni timu ya watu wengi sana take care ,

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Bwana mkubwa kama Linza haijawahi kudondosha jengo basi hilo kwenye picha ni la kwanza, umetengeneza historia.
Kama nina chuki binafsi basi chuki yangu ni kwa mainjinia wanodondosha majengo kama hapo juu.
Na ukiendelea hivyo nitakuchukia daima dumu.

Mainjinia hawawezi kukosa uadilifu wa kusimamia kazi zao na kujidai its a normal day at the office!
Fikiria hasara na uwezekano wa kupoteza maisha, halafu injinia anakuja na utetezi hafifu , tena wa kisiasa, eti kuna chuki binafsi-na huku kazi yake imeporomoka chini!!
 
Back
Top Bottom