Careful. Sio rahisi kama jamaa alivyosema. Kuna Stage ya Partitioning ambayo wengi wamelia. Ni vizuri kupata maelezo ya kutosha section hiyo kabla ya ku install!Nahitaji kali linux..na je, nawezaitumia alongside win 8.1?
Yes mkuu...nilishaona hiyo kitu mahali ndiyo maana niaomba maelezo toka kwa wadau..versions za nyuma ilikuwa rahisi lakin kwasasa ni tatizo kidogo...unaweza share uzoefu hapo mkuu?Careful. Sio rahisi kama jamaa alivyosema. Kuna Stage ya Partitioning ambayo wengi wamelia. Ni vizuri kupata maelezo ya kutosha section hiyo kabla ya ku install!
Mkali hii project wamemaliza asee, kwa hii software ni kama office imekalika bila kuhitaji windows tena, taasisi sasa zianze tu kupunguza gharama maana office suite ndio huwa shida kubwa ya maofisi kutumia linux.Kwa wale wanaopenda ribbon interface kama ya ms office 2007+ wanaweza tumia wps for linux. Downloads - WPS Office Community
sudo add-apt-repository ppa:team-xbmc/ppa
sudo apt-get update
sudo apt-get install kodi
sudo apt-get install kodi-audioencoder-* kodi-pvr-*
sudo apt-get install vlc
Nimefanya hivyo bila mafanikio.Ungejaribu ku-update kwa kutumia terminal kwanza.
Ungetuambia ujumbe unaopata, jaribu ku-fix kwa kuandika code ifuatayoNimefanya hivyo bila mafanikio.
sudo apt-get upgrade gnome-software
Imekataa tena nikifungua inaonesha tu cursor inazunguka pale kisha inatulia haileti meseji hataUngetuambia ujumbe unaopata, jaribu ku-fix kwa kuandika code ifuatayo
Halafu reboot kompyuta yako.Code:sudo apt-get upgrade gnome-software
jaribu hiiImekataa tena nikifungua inaonesha tu cursor inazunguka pale kisha inatulia haileti meseji hata
rm ~/.local/share/gnome-software/*
ama ikishindakana fanya kuitoa na kuiweka tenaImekataa tena nikifungua inaonesha tu cursor inazunguka pale kisha inatulia haileti meseji hata
sudo apt-get autoremove gnome-software && sudo apt-get install gnome-software
Ubuntuwindow ipi mkuu sijakuelewa
check comment ya #12 kuna linksUbuntu
Njia nzuri ni utengeneze partition nyingine uinstall dual booting mkuuNahitaji kali linux..na je, nawezaitumia alongside win 8.1?
Huyu alikasirika kwa kudai kudharirishwa na polisi kabla ya kujuia alifungwa selo.sudo apt-get install klavaro
apt-get master ian murdock kwanini alijiua?
Kwani alifanya nini hadi kufungwa?Huyu alikasirika kwa kudai kudharirishwa na polisi kabla ya kujuia alifungwa selo.