Links za kudownload nyimbo za Zamani

Links za kudownload nyimbo za Zamani

Wanzuki

Senior Member
Joined
Apr 8, 2009
Posts
115
Reaction score
13
Wapi naweza kupata nyimbo zote za zamani za Zaire, TZ au Kenya, kama vile za Orchestra Lipua Lipua, Veve, na zingine za enzi hizo ili ni-download?
 
mkuu,
nimepitia hapo,
lakini kwa bahati mbaya ni kwamba nimejikuta naweza kusikiliza tu online lakini siwezi kudownload, unaweza kunipa maujanja ya kudownload???

Tumia IDM Ku download
 
Kama unatumia firefox mozila download hii extension mkuu itakusaidia kudownload miziki na video unazosikiliza online

https://addons.mozilla.org/en-US/firefox/addon/video-downloadhelper/

poa mkuu shukkrani sana maana leo nimedownload zaidi ya nyimbo 200 bureeeee kabisa. kuna twanga pepeta, stone musica, mchinga, za zamani na za dini kibaoooo. za congo ndo usiseme maana ndo nilizozaliwa nazo. Kwa hiyo IDM ni kiboko kama mtu alikuwa hajui basi ajaribu aone mopto wa IDM
 
Umeisajili lakini?
 
youtube ina nyimbo nyingi za zamani za congo hata zile za kina grand kalle za 1950s - uwe na IDM utachoka mwenyewe - wapo kina Aboubakar kule wameweka vitu vingi tu vya zama zile
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom