Link Ya Youtube Haionyeshi Picha (Video) Kwenye Simu Yangu.

Mawaiba

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
417
Reaction score
151
Heshima kwenu wakuu. Imekuwa ikitokea maranyingi, kwa mfano kwenye post za humu Jf, mtu akiweka link ambayo inatakiwa tuifungue ili tuone moving picture, km video clip etc, ninapo-click kinachotokea baada ya kumaliza ku-load ni plain/empty page kana kwamba hiyo link haikuwa na kitu. Naomba msaada kwa anaejua ufumbuzi wa tatizo hii. Simu yangu ni Nokia Asha 308. Mtandao tiGO na Airtel. Asanteni.
 
hata Mimi nilipata hilo tatizo huwezi kupata youtube Kwa kutumia browser kama opera mini ucbrowser nk. jaribu kudownload jf application au tumia original browser ya kwenye Simu mambo poa mkuu.
 
Heshima kwenu wakuu. Imekuwa ikitokea maranyingi, kwa mfano kwenye post za humu Jf, mtu akiweka link ambayo inatakiwa tuifungue ili tuone moving picture, km video clip etc, ninapo-click kinachotokea baada ya kumaliza ku-load ni plain/empty page kana kwamba hiyo link haikuwa na kitu. Naomba msaada kwa anaejua ufumbuzi wa tatizo hii. Simu yangu ni Nokia Asha 308. Mtandao tiGO na Airtel. Asanteni.

ili kuiona video inabidi ukopi web adress ya youtube yenye video na i-paste kwenye google search then utaiona iyo video baada ya ku search!
 
Back
Top Bottom