Link ya Walioitwa Interview ya tar 15 Disemba 2012!

Babu wa Loliondo

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
323
Reaction score
106
WanJF wenzangu japokua mm sijafanikiwa kuwemo kwenye orodha ya walioitwa kwenye interview ya tar 15.12.2012 na najua website ya Secretariet ya utumishi haifunguki kwa mda sasa na wengi wetu tunahangaika kujua kama tumeitwa kwenye hii interview, hivyo nawashauri kufungua website ya Wizara ya Utumishi Public Service Management, link ya hiyo orodha inapatikana humo! Au unaweza ku-download attachment hapa JF chini imeambatanishwa

Asanteni sana.
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…