Wadau naomba yeyote anayejua link itakayo niongoza kupata matokeo ya kidato cha nne mwaka 2003 anisaidie,nina shida nayo sana.
Nimejaribu kutafuta kupitia
The National Examinations Council of Tanzania ila napata matokeo ya 2004 to 2011,ya 2003 kurudi nyuma siyapati.
USINISHAURI NIENDE NECTA COZ SINA NAULI NA MUDA.
THANK U IN ADVANCE