msaada naomba mwenye link ya jamii forum itakayo niwezesha kuidownload aniwekee hapa kwenye thread.
sihitaji kupitia kwenye google play store kwakuwa nimejaribu mara nyingi imeshindikana,naomba mwenye uwezo wa kuniwekea hiyo app ili niidownload afanye kama kwenye ile thread ya VPN HOTSHIELD.
natumia opera mini
ila simu ni samsung galaxy s4 (mchina)