Link: JK - CHADEMA

Serikali ya CCM imetumia zaidi ya Bilioni 200 za Richmond kutengeneza ajira kwa kikundi cha watu wachache wakati Serikali ya CHADEMA ingehakikisha fedha hizo zinatumika kuzalisha nishati ya kweli ya kulikomboa taifa. Huu ni mfano tu

Asha

bado hujajibu swali ! unajua hadi hivi sasa serikali ya ccm imezalisha ajira ngapi ? au ndio unajaribu kukataa ukweli bi. asha ? wewe kimbia lakini nataka utueleze kama unajua ni ajira ngapi zimetolewa hadi hivi sasa.... and i challenge mnyika as well on this one !

Richmond naona sasa hiyo ishakuwa hoja ya kipropaganda, maana unaelewa fika kwamba ccm haikubenefit vyovyote na hizo pesa, but yet you still keep pushing it..
 

Asha mimi sipingani na ideology za CHADEMA, bali napinga mtu anaesema anaweza kutengeneza kazi million moja. Ugunduzi wa mafuta kwa Angolo ni different case na uchimbaji wa madini. Oil extraction inaitaji watendaji wengi lakini kuformulate ajira million moja naliweka swala hilo kwenye kiilizo. Kama unaweza naomba secondary source ya uzalishaji wa kazi million.

Luckly enough I know Zitto personal, i will challange him on this question. Nafahamu anaujua uchumi and he knows the law of demand and supply. Nashangaa kwa nini wameweza kuweka political spin policy kama hiii kwenye policy zao.

Nakubaliana na wewe kwenye swala kusubsidizing kilimo, na hili swala linaitaji engineer wakubwa wa uchumi wa kilimo. Hata hivyo hili ni swala la long term plan, hatuna uwezo wa kufund wakulima wapya million kwa mwaka, tuta drive our food price down to the tube and every one will quit agriculture. Haya mambo yanaitaji very smart strategic vision and mission.

Kusema tutaanzisha kazi million moja kwa mwaka ni imposible. Hata kama tutachukua economic tycoon kutoka US Federal Bank au Wharton School of Business hatuwezi kuanzisha kazi million moja ndani ya Tanzania. We will cause chaos on the whole financial sector.

Nakubaliana na wewe tunaweza kukuza uchumi wetu kwa double digit kwa miaka za ya 15. Na tukafanya brake even kwenye swala la umasikini.
 


Serikali ya CCM imetumaliza Kada, wewe unajua hilo, JK anajua hilo na mimi nafahamu ilo. Imeleta wawekezaji wanaowekeza, kisha wakatumia majina ya nchi yetu kuja kwenye NYSE na kurise capital kisha wakiwa wameajiri watu wawili au watatu kwenye top management.

Mfano log in yahoo finance, then ingiza TSE kwenye search, angalia capital aliyo rise huyo mnaemuita investor, then nenda kwenye website yao kaangalie kampuni yake ina wafanyakazi wangapi. CCM hawajafanya lolote kwenye sector ya uzalishaji wa kazi.
 
leo chadema watakimbia hapa, wakigeuka kulia kuna sam, wakigeuka kushoto kuna kada, mbele kuna zemacorpolo, na wengine sasa tunafuatia.

kwi kwi kwi kwi, sijui watajificha wapi mwaka huu.

Kumbe mko hapa kwa ushabiki mambo ya simba na yanga si tulidhani ni wakereketwa wa maendeleo, kazi kweli kweli!
 
Kumbe mko hapa kwa ushabiki mambo ya simba na yanga si tulidhani ni wakereketwa wa maendeleo, kazi kweli kweli!

Unaweza kudhani kuwa ni simba na yanga lakini angalau wana ccm nao sasa wanaonyesha kuwa nao wana say hapa.
 

duh ! nimesoma maelezo yako na ni mazuri sana ila sina uhakika yana ukweli kiasi gani, lakini kama ni kweli ajira milioni moja haiwezi kutengenezwa, basi hiyo ni political agenda wanayotumia wanasiasa.. also, sidhani kama walimaanisha ajira milioni kwa mwaka mmoja, i think itachukua zaidi ya miaka miwili to do so !
 


Try to Avoid guess work!
 


Aisee
 
Dah! JF ni zaidi ya blogu uchwara na vigazeti uchwara wallahi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…