Kwa anaeyeifahamu link/adress/website etc, inayoonyesha matokeo ya kidato cha pili, tafadhali tunaomba atusaidie.
Link ni ubao wa shule yako
teh teh teh loading........................Link ni ubao wa shule yako
Kama ya form 4 wanaweka kwanini washindwe haya? Au dhalau?
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Mulugo huyo kaka.............Bado wapo analogy.
Dar es salam imehamishiwa digital, inamaana Wizara ya elimu imerukwa?
Karne hii inafaa Matokeo yawepo on line ili kuwe na easy access kwa wenye kuhitaji kuziona.
Sasa sielewi wizara yenyewe ya elimu mambo yao hayaashirii kama ni wizara ya Wasomi.Jamani?