necta haina data base ya darasa la 7 na form 2 kuna ya form 4 na 6 tu kwaiyo inabidi wadau waelimu muombe waiandae maana dunia imehama sasa toka analog to digital
La saba yapo. http://www.necta.go.tz/matokeo_html_2013/psle.htm
necta haina data base ya darasa la 7 na form 2 kuna ya form 4 na 6 tu kwaiyo inabidi wadau waelimu muombe waiandae maana dunia imehama sasa toka analog to digital
Kwa anaeyeifahamu link/adress/website etc, inayoonyesha matokeo ya kidato cha pili, tafadhali tunaomba atusaidie.
website haipo ila mimi natumiaga website yangu na huwa ninafakiwa. inaitwa
http/kaangaliemwenyeweshulenikwako/go.tz