Linipate la kunipata!

Linipate la kunipata!

Kwani ni dada

au ni Sexless ?
 
au ni Sexless ?
Oo sawa
 
Upo kwa bi-mdashi afu unalilia mapenzi,afu unapenda watu wazima(waloajiriwa),afu unaleta ununda kwa dogo lako??
 
Acha wivu... Wewe kwenu ni masikini ndiyo maana umekimbia.

Nyumba ninayo na bado naishi kwenye nyumba ya baba.
Nyumba yangu nimeweka wapangaji.
 
We nawe tuliza...
haya ni maongezi ya ki-billigate,wewe Ngumukumeza wataka nini??
Acha wivu... Wewe kwenu ni masikini ndiyo maana umekimbia.

Nyumba ninayo na bado naishi kwenye nyumba ya baba.
Nyumba yangu nimeweka wapangaji.
 
Hello! Ushawahi sikia mtu anaenda makuburini anaomba akiwa na imani kuwa atafanikiwa? Kwa upande wangu kipindi nipo darasa la nne kuna kaburi lilisadikika kuwa ni la mtakatifu watu wengi walikuwa wanaenda kusali pale kwaajili ya kutatuliwa matatizo yao,ukiomba unafanikiwa malengo yako kupitia ilo kaburi .kama ni mwanafunzi na upo kwenye kipindi cha mitihani basi unaweza kwenda kwenye kaburi ilo unasali,unachukua udongo unamimina kwenye pen zilikuwa zinaitwa cello,ivyo unaandika huku udongo upo ndani ya pen.siku moja tukashauriana na rafiki angu kwenda kwenye kaburi Ilo tujionee miujiza iyo sio kusikia tu kwa jirani ilikuwa miaka ya 2000, Basi tukaenda tulipofika pale tukasari tukaweka karanga mifuko miwili juu ya kaburi maana ndo kitu ambacho tulikuwanacho mkononi.
Lakini hata sisi kabla hatujasali nakuweka zile Karanga tulikuta ela juu ya lile kaburi, kwakweli hatukuziacha. Inaonekana kuna mtu alifanya dua zake akaweka ela. Kwakweli kaburi hilo liliheshimika sana japo sijaendelea kulifatilia sana kwa siku za karibuni.

Sasa mdogo wangu yupo darasa la saba anamaliza mwaka huu analala na udongo ndani, mwingi tu katia kwenye kopo alichukua kwenye ilo kaburi na mwingine uwa analamba! Nikamshirikisha mama nikamwambia dogo analala na udongo ndani wa makaburini na mwingine analamba, mama akawa mkali akaniambia muache kila mtu na imani yake!

Basi mimi ule udongo nikaendelea kuuacha kwenye chumba chake lakini mimi bwana msomi siwezi endelea kuona icho kitu kikiwepo ndani. Kwakweli nimemwaga kimya kimya, nimeegesha kifaa alichokuwa akiwekea udongo huo wa makaburini. Nasemaje "liwalo na liwe, la kunipata linipate Mungu anisamehe kama nimekosea".
Nakumbuka sumbawanga kijiji kinaitwa (Mwaze) kuna kaburi la aina hii, watu wanaenda kuchukua udongo na majani ya miti iliyootea pale.
Wanasena udogo pamoja na majani ya miti kutoka pale inatibu magonjwa mbali mbali
 
Mwazye
Kaburi la Babu Abel
Nahis ndio jamaa atakua analizungumzia
 
Mbona Wewe Ulichukua Huo Udongo Hujasema Kama Ulifauru Kupitia Huo
Acha Naye Atusue
 
Imani inajenga, Shida watu tunashindwa kuamini mpaka tuone au tuambiwe na wengine.
 
Hilo Kaburi bado tu halijaisha udongo
🤣

Back
Top Bottom