Lini orodha ya mabilionea Forbes Afrika itatoka?

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
14,812
32,695
Ebwana wanaJF Mzuka!

Kutokana na utumbuaji jipu, kubana matumiz na kuziba mianya ya ukwepaji wa kulipa kodi kutoka kwa rais wetu na timu yake na shauku sana na nasubir kwa hamu orodha ya mabilionea kumi bora kutoka afrika kwenye jarida la Forbes.

Je wale mabilionea wetu waliokuwa kumi bora kwenye orodha iliyopita Je watazitetea nafas zao ama kuzimenteni?

Ukiona hadi sukari inafichwa ujue msela keshapaniki!!

Nawakilisha
 
Tembo hawezi kukonda awe kama sungura
mtu kuwa bilionea wa kutajwa forbes ni assets zenye thamani ya zaidi ya milioni 1000

usishangae wakiongezeka.....

jarida hutoka kila mwezi wa 4 i guess....
 
Tembo hawezi kukonda awe kama sungura
mtu kuwa bilionea wa kutajwa forbes ni assets zenye thamani ya zaidi ya milioni 1000

usishangae wakiongezeka.....

jarida hutoka kila mwezi wa 4 i guess....
asante the boss kunijulisha. Je tuseme hii kasi ya Magu ikiendelea hivi hadi 2018 si ndio hawa jamaa watapungukiwa?
 
asante the boss kunijulisha. Je tuseme hii kasi ya Magu ikiendelea hivi hadi 2018 si ndio hawa jamaa watapungukiwa?


Magufuli anaweza kuleta mabilionea wapya
anapenda sana kujenga madaraja na barabara

kama una kampuni za kandarasi kazi ni kwako tu...

daraja la coco beach tu wametenga dola milioni 500...

imagine that...

atabana kwingine atawezesha kwingine......

watu wenye brains za kuwa mabilionea...Magufuli ni gift...

he is impulsive.....maamuzi yake yanaweza tengeneza new billionaires overnight...

Sukari tu sasa itageuka dili kuubwa

Si ajabu mwakani wenye viwanda vya sukari wakapewa hadi ruzuku na serikali
 
Mwezi Ujao linatoka, kwa Tanzania Dollar Billionaires ni Wawili pekee
Rostam na Dewji
Sijaona wakiongezeka
 
Back
Top Bottom