K KAUMZA JF-Expert Member Aug 31, 2010 699 237 Jul 15, 2011 #1 Wana wane, ninajaribu kujiuliza iwapo NAPE na CHILIGATI watakwenda jimboni Monduli na Igunga kuelezea falsafa ya kujivua gamba kitu gani kitatokea?? JARIBU KUTAFAKARI
Wana wane, ninajaribu kujiuliza iwapo NAPE na CHILIGATI watakwenda jimboni Monduli na Igunga kuelezea falsafa ya kujivua gamba kitu gani kitatokea?? JARIBU KUTAFAKARI
K Keykey JF-Expert Member Dec 1, 2006 3,250 740 Jul 15, 2011 #2 KAUMZA said: Wana wane, ninajaribu kujiuliza iwapo NAPE na CHILIGATI watakwenda jimboni Monduli na Igunga kuelezea falsafa ya kujivua gamba kitu gani kitatokea?? JARIBU KUTAFAKARI Click to expand... Thubutu! aende huko na yeye avuliwe GAMBA?
KAUMZA said: Wana wane, ninajaribu kujiuliza iwapo NAPE na CHILIGATI watakwenda jimboni Monduli na Igunga kuelezea falsafa ya kujivua gamba kitu gani kitatokea?? JARIBU KUTAFAKARI Click to expand... Thubutu! aende huko na yeye avuliwe GAMBA?
F FUSO JF-Expert Member Nov 19, 2010 31,638 37,861 Jul 15, 2011 #3 in fact ni majimbo matatu - Bariadi, Igunga na Monduli ili kueneza sera za chama za kujivua magamba. tunasuburi kwa hamu kuu.
in fact ni majimbo matatu - Bariadi, Igunga na Monduli ili kueneza sera za chama za kujivua magamba. tunasuburi kwa hamu kuu.
Pukudu JF-Expert Member Jan 7, 2011 3,148 2,219 Jul 15, 2011 #4 huyo mzee wa siasa uchwara hawezi enda huko wampopoe mawe? ye anataka kwenda sehemu nyepesi ambazo ataongea unapenape wake afu watamchunia tu si aje hata huku arusha tuna hamu naye, hivi si naweza mwandikia barua ya mwaliko? aje huku
huyo mzee wa siasa uchwara hawezi enda huko wampopoe mawe? ye anataka kwenda sehemu nyepesi ambazo ataongea unapenape wake afu watamchunia tu si aje hata huku arusha tuna hamu naye, hivi si naweza mwandikia barua ya mwaliko? aje huku
samirnasri JF-Expert Member Nov 8, 2010 1,388 213 Jul 15, 2011 #6 sio kazi rahisi hasa monduli na igunga nadhani anaweza kuzomewa na hata kupondwa mawe.
N ngwendu JF-Expert Member Jun 7, 2010 1,964 174 Jul 15, 2011 #7 KAUMZA said: Wana wane, ninajaribu kujiuliza iwapo NAPE na CHILIGATI watakwenda jimboni Monduli na Igunga kuelezea falsafa ya kujivua gamba kitu gani kitatokea?? JARIBU KUTAFAKARI Click to expand... Sioni umuhimu wa wao kwenda huko. hasa kwa muda huu.
KAUMZA said: Wana wane, ninajaribu kujiuliza iwapo NAPE na CHILIGATI watakwenda jimboni Monduli na Igunga kuelezea falsafa ya kujivua gamba kitu gani kitatokea?? JARIBU KUTAFAKARI Click to expand... Sioni umuhimu wa wao kwenda huko. hasa kwa muda huu.
NATA JF-Expert Member May 10, 2007 4,492 1,311 Jul 15, 2011 #8 samirnasri said: sio kazi rahisi hasa monduli na igunga nadhani anaweza kuzomewa na hata kupondwa mawe. Click to expand... Kwani anaogopa nini au anakosa gani? Yeye ndiyo aliwaambia wachague wabunge mafisadi?
samirnasri said: sio kazi rahisi hasa monduli na igunga nadhani anaweza kuzomewa na hata kupondwa mawe. Click to expand... Kwani anaogopa nini au anakosa gani? Yeye ndiyo aliwaambia wachague wabunge mafisadi?