Lini NAPE atakwenda Monduli na Igunga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lini NAPE atakwenda Monduli na Igunga

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KAUMZA, Jul 15, 2011.

 1. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Wana wane, ninajaribu kujiuliza iwapo NAPE na CHILIGATI watakwenda jimboni Monduli na Igunga kuelezea falsafa ya kujivua gamba kitu gani kitatokea??

  JARIBU KUTAFAKARI
   
 2. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Thubutu! aende huko na yeye avuliwe GAMBA?
   
 3. F

  FUSO JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,811
  Likes Received: 2,294
  Trophy Points: 280
  in fact ni majimbo matatu - Bariadi, Igunga na Monduli ili kueneza sera za chama za kujivua magamba. tunasuburi kwa hamu kuu.
   
 4. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  huyo mzee wa siasa uchwara hawezi enda huko wampopoe mawe? ye anataka kwenda sehemu nyepesi ambazo ataongea unapenape wake afu watamchunia tu si aje hata huku arusha tuna hamu naye, hivi si naweza mwandikia barua ya mwaliko? aje huku
   
 5. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #5
  Jul 15, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ataenda pindi cha uchaguzi mdogo.!
   
 6. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #6
  Jul 15, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  sio kazi rahisi hasa monduli na igunga nadhani anaweza kuzomewa na hata kupondwa mawe.
   
 7. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #7
  Jul 15, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Sioni umuhimu wa wao kwenda huko. hasa kwa muda huu.
   
 8. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #8
  Jul 15, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kwani anaogopa nini au anakosa gani?
  Yeye ndiyo aliwaambia wachague wabunge mafisadi?
   
Loading...