Nangose 1
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 7,207
- 6,786
Wadau, kwakweli sijaona mwaka ambao majibu ya form VI yamechelewa sana kama mwaka huu kwa hii miaka ya karibuni.. Ni miezi miwili sasa na Siku kadhaa toka madogo wamalize mitihani yao ila hadi leo Hamna cha maana, mbona matokeo ya form IV wiki 4 tu yanakuwa tayari yametoka hali ya kuwa shule ziko nyingi mno ukicompare na hizi za high level.
Ohy mliopo kwenye vitengohuko NECTA tujulisheni lini mtatoa matokeo.
Ohy mliopo kwenye vitengohuko NECTA tujulisheni lini mtatoa matokeo.