Linganisha kinachoitwa vurugu za Chadema bungeni na mabunge mengine duniani

Linganisha kinachoitwa vurugu za Chadema bungeni na mabunge mengine duniani

Kwaiyo ulitaka liwe la fujo? Haya fungeni mlango basi Sugu apigane

Hujanielewa. Ninachotaka kusema ni kwamba issue za kina Tundu katika Bunge kiti cha Bunge kinazikuza kuliko inavyostahili kwamba ni vurugu (blow out of proportion). Kina Lisu wanatoa changamoto za kawaida sana katika bunge lenye mfumo wa vyama vingi zile sio vurugu.
 
Badala ya kuiga mambo ya maana unataka tuige ngumi kama Bunge la Somalia.
 
Badala ya kuiga mambo ya maana unataka tuige ngumi kama Bunge la Somalia.

Niliposema nataka tuige ni wapi? Huu ni uzito wa kuelewa jambo dogo sana, ambalo inaonekana ni tatizo katika jamii yetu ya Kitanzania.
 
Bunge la Tanzania Peace sana,watu wanaogopa tu.Tukitaka maendeleo ya kweli mbona kunatakiwa kuwe na "lock up" mle mle ukumbini waheshimiwa wawe wanapunzishwa baada ya kutwangana?
 
Sugu alijaribu kuzuia askari kufanya kazi yake kumtoa Lissu alipigwa Push moja takatifu mwenyewe akaa Pembeni na wote wakafyata na kutoka nje, walioneshwa kidooogo how Dola works!
 
Badala ya kuiga mambo ya maana unataka tuige ngumi kama Bunge la Somalia.

Jamani hujamwelewa labda usome kwa umakini maneno aliyoyaandika utamwelewa, wala hajamaanisha kuiga mambo mabaya ya mabunge ya watu wengine, anachomaanisha ni kwamba mabunge mengine wanachokifanya ni zaidi ya fujo, hapa kwetu ni mambo ya kawaida kabisa lakini wanayakuza na kuonekana ni fujo.
 
Wewe ndio hujamuelewa. anachosema yeye ni kwamba na sisi tuache ile hali hadi ifikie huko ndio tuanze kuchukua hatua.
 
Back
Top Bottom