Linex ana kipaji, mbona hang'ai kama wengine?

Linex ana kipaji, mbona hang'ai kama wengine?

Ana video yake moja anamnasa mwanamke makofi, sijui MTV kama watakubali kurusha ujumbe wa aina ile.
 
Mtoto wa kishua yule hana njaa ya kumfanya aongeze juhudi plus ana toto ya kitasha ndo basi ashakunja nne. Afu mabange mengi pia upande mwngine.
hv kumbe ni mtoto wa kishua
 
yeah mkuu. mambo safi mzee wake.
basi hamjali kabla ya huyo linex ajatoka alikuwa anashinda iringa akinyw pombe za machicha yani alikuw maisha magumu ukimwona anatia huruma
 
basi hamjali kabla ya huyo linex ajatoka alikuwa anashinda iringa akinyw pombe za machicha yani alikuw maisha magumu ukimwona anatia huruma
Baba atamjali vp na yeye mabhange, kichwa ngumu, msela, muhuni. Bora sasa hv alivyo na huu mziki. Ila bado ana kasoro zake za kitabia.
 
Attitude ndio shida na chanzo cha mkomo wa maendeleo ya mtu OVER!
 
Back
Top Bottom