Line za uwakala kwa wenye mitaji chini ya milioni 4

Mr Confidential

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,496
2,364
Kuna ulazima wa kuwa na leseni ya biashara ili hali una mtaji wa chini ya milioni 4?

Je, naweza kupata line ya uwakala nikiwa na Tin Number, Kitambulisho cha Uraia (Nida), Kitambulisho cha mjasiriamali mdogo (cha 20,000).

Bureaucracy nyingi hadi zinaboa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom