Line inauzwa tsh 2000/=baada ya kuisajili unapewa sms 200. Mb200.utaongea Ttcl kwenda Ttcl buree mwezi mzima. Wanakurudishia tsh1000/=toka hiyo elfu 2000/=unawekewa ktk account yako utaitumia kupiga simu kwenda mitandao mingine ukilipia tsh 1/=kwa kila seconds... Hii ni bila kujiunga.