Line ya tigo pesa kwa jina lako

Line ya tigo pesa kwa jina lako

magwio

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2014
Posts
266
Reaction score
80
Pata line ya tigo pesa kwa jina lako kwa laki 4 na nusu .
 
kwa line ya tigo sasa hivi siyo ghali kiasi hicho unataka kuibia watu mimi nimezipata bure...
 
Kweli kabisa aache kuwaibia watu hizo line ni bure kabisa kama kuna mtu anataka nitamsaidia kumdirect

ukinisaisia kupata lain nakupa Tsh 10000.Ni pm kama unaweza hiyo shughuli
 
Mimi ni Wakala na nikihitaji line naenda kwa super dealer Wa Tigo wanatoa free hata sasa ninahitaji wameniambia nafasi kwa wilaya ya ilala niende august 2
 
vitu gani unavisubmit ili upate hiyo line ya Tigo pesa...?

document gani?
 
Back
Top Bottom