Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Vodacom mzeeKuna kutupa line zako zote ubaki na moja tu kwa ajili ya internet (Data ) , Message na mawasiliano mengine.
Utabaki na line gani ? Itakutoa ?
Mm nabaki na Airtel, mtandao wa kijanja sana.
Vifurushi safi kabisa muda wote na iko safi sana!
Expensive sanaVodacom mzee
kwanini mkuuMitandao ya internet inategemea na cm unayomiliki mzee.
Acha utani wewe..kama mtandao upo chini simu haiwezi kusaidia kituMitandao ya internet inategemea na cm unayomiliki mzee.
Pamoja na kuwa ghali mtandao wa halotel uko fasta kwa net hata vijijinKuna kutupa line zako zote ubaki na moja tu kwa ajili ya internet (Data ) , Message na mawasiliano mengine.
Utabaki na line gani ? Itakutoa ?
Mm nabaki na Airtel, mtandao wa kijanja sana.
Vifurushi safi kabisa muda wote na iko safi sana!