Line moja unayoona inafaa ni ya mtandao gani ?

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,551
Kuna kutupa line zako zote ubaki na moja tu kwa ajili ya internet (Data ) , Message na mawasiliano mengine.

Utabaki na line gani ? Itakutoa ?

Mm nabaki na Airtel, mtandao wa kijanja sana.

Vifurushi safi kabisa muda wote na iko safi sana!
 
  • Thanks
Reactions: cmp

Vodacom mzee
 
inategemea location na ofa mfano Airtel iko poa sehemu nyingi kama line yako inakubali UNI OFA ila kwa Dsm voda wana UNI OFA ya buku 2 kwa wiki dakika za kutosha na mbs...kama line yako inakubali
 
mtandao pendwa kabisa
1557893462886.jpeg
 
Kuna kutupa line zako zote ubaki na moja tu kwa ajili ya internet (Data ) , Message na mawasiliano mengine.

Utabaki na line gani ? Itakutoa ?

Mm nabaki na Airtel, mtandao wa kijanja sana.

Vifurushi safi kabisa muda wote na iko safi sana!
Pamoja na kuwa ghali mtandao wa halotel uko fasta kwa net hata vijijin
WAFUTE YOTE IBAKI HALOTEL
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom