structuralist
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,230
- 910
line 1 ndo inaunganshwa na Internet sio line 2Wakuu natumia tecno phantom A3 (M9) na kama zilivo zingine ina laini 2. Tatizo ni kuwa laini 2 ambayo ni.ndogo haisomi data. Niliweka airtel nikawa natumia kwenye net kwenye hiyo laini 2 ila baada ya bando kuisha baadae nikaona zile H,G na hata E havisomi.
Mwanzo nikajua labda airtel wamezingua ila kucheki kwa washikaji airtel zinapiga mzigo kawaida. Sasa leo nikaweka halotel tatizo likawa lilelile . Hivyo naomba utalamu kidogo hapa.
Mkuu hapo dadavua kidogo nipate cha kufanya plzManual setting
Dah mwana unazingua.kama bando limeisha airtel data huwa hakuna nunua bando uendelee kila bataWakuu natumia tecno phantom A3 (M9) na kama zilivo zingine ina laini 2. Tatizo ni kuwa laini 2 ambayo ni.ndogo haisomi data. Niliweka airtel nikawa natumia kwenye net kwenye hiyo laini 2 ila baada ya bando kuisha baadae nikaona zile H,G na hata E havisomi.
Mwanzo nikajua labda airtel wamezingua ila kucheki kwa washikaji airtel zinapiga mzigo kawaida. Sasa leo nikaweka halotel tatizo likawa lilelile . Hivyo naomba utalamu kidogo hapa.
Mkuu yani kilichotokea ni kuwa baada ya bando kuisha nilikaa muda kidogo baadaye nikaona mbona hata nikiwasha data hazioneshi kusoma. Unajua hata kama.huna bando bado inadisplay kuwa inakamata net ila hii ikazingua. Then nikaona isiwe tabu nikajiunga na kifurushi cha halotel ila kuweka kwenye line 2 nayo ikagoma kusoma net lakini nikiiweka kwenye line 1 inakubali vizuri tu na ndiyo ninayoitumia hapa. Sasa hapo nifanyeje?Dah mwana unazingua.kama bando limeisha airtel data huwa hakuna nunua bando uendelee kila bata
Nimejaribu kwendakwenye.setting then line.management ila kila.kitu nilichojaribu hakuna jipia.Sasa fanya seting au imegoma nayo
Wakuu natumia tecno phantom A3 (M9) na kama zilivo zingine ina laini 2. Tatizo ni kuwa laini 2 ambayo ni.ndogo haisomi data. Niliweka airtel nikawa natumia kwenye net kwenye hiyo laini 2 ila baada ya bando kuisha baadae nikaona zile H,G na hata E havisomi.
Mwanzo nikajua labda airtel wamezingua ila kucheki kwa washikaji airtel zinapiga mzigo kawaida. Sasa leo nikaweka halotel tatizo likawa lilelile . Hivyo naomba utalamu kidogo hapa.
Mkuu hebu nisaidie connection kati ya kuwahi kuishi mabondeni na hili tatizo.Ulishawahi Kuishi MABONDENI Labda?
Nenda Setting
Then select Network
Then Select New APN
Name weka jina la mtandao(line) uliyoweka
Kwenye APN jaza "internet"
Kisha SAVE
Kisha select huo mtandao kwenye data
Ikibidi zima then washa