Nina mchumba wangu (wakike) ni mwanafunzi wa chuo kikuu kimojawapo hapa nchini.Siku moja nilipata ujumbe kwenye simu yangu kutoka kwenye namba ngeni ukisomeka hivi ("Hapa huna mchumba jamaa wana mega kama nini") sikuelewa nini maana yake.Baada ya week kama mbili hivi siku moja nilimpigia simu mchumba wangu saa 3 na nusu usiku,tukaongea yetu na kisha tukatakiana usiku mwema .lakini sikukata simu yangu na sikuitoa sikioni nae pia hakukata nadhani kwa vile nilipiga mimi alidhani nitakata mimi.kisha baadae kidogo nikaanza kusikia mazungumuzo kati yake na mtu mwingine sauti ya kiume,kati ya mengine mengi niliyo yasikia ni mazungumuzo ya mahaba kati ya watu hao,siku hiyo ilikuwa jmosi ,kesho yake saa nane mchana nilipokea ujumbe kutoka kwa mchumba wangu analalamika kwanini nimechelewa kufika sehemu furani,sikuelewa nikitu gani kinaendelea kwani mimi nipo mbali nae na hatukuwa na miadi yeyote ya kukutana nae sehemu ile,kisha baadae kama dk 10 akatuma ujumbe mwingine akisema yeye amefika akiniuliza nipo wapi?nikazidi kushangaa sikujibu .nikapiga moyo konde nikangoja .kisha dk 30 baadae akatuma ujumbe wa kuniomba radhi kwani ujumbe uliokuja kwangu alikuwa anamtumia rafiki yake na kwakuwa namba yangu ya simu ndo ameizoea sana ameshtukia ameisha nitumia mimi.sikumjibu kwa wakati huo kisha nikaanza kuunganisha matukio.kichwa kinaumia nichukue uamuzi gani kwani nimeaanza kupoteza imani nae.Ushahuri wenu jamani
Na we anza kumega wanaokatiza mbele yako as if there is no tomorrow, hata mkioana inakua ngoma droo..Laa we kama huezi hayo mambo basi achia ngazi mapema tu/
Nina mchumba wangu (wakike) ni mwanafunzi wa chuo kikuu kimojawapo hapa nchini.Siku moja nilipata ujumbe kwenye simu yangu kutoka kwenye namba ngeni ukisomeka hivi ("Hapa huna mchumba jamaa wana mega kama nini") sikuelewa nini maana yake.Baada ya week kama mbili hivi siku moja nilimpigia simu mchumba wangu saa 3 na nusu usiku,tukaongea yetu na kisha tukatakiana usiku mwema .lakini sikukata simu yangu na sikuitoa sikioni nae pia hakukata nadhani kwa vile nilipiga mimi alidhani nitakata mimi.kisha baadae kidogo nikaanza kusikia mazungumuzo kati yake na mtu mwingine sauti ya kiume,kati ya mengine mengi niliyo yasikia ni mazungumuzo ya mahaba kati ya watu hao,siku hiyo ilikuwa jmosi ,kesho yake saa nane mchana nilipokea ujumbe kutoka kwa mchumba wangu analalamika kwanini nimechelewa kufika sehemu furani,sikuelewa nikitu gani kinaendelea kwani mimi nipo mbali nae na hatukuwa na miadi yeyote ya kukutana nae sehemu ile,kisha baadae kama dk 10 akatuma ujumbe mwingine akisema yeye amefika akiniuliza nipo wapi?nikazidi kushangaa sikujibu .nikapiga moyo konde nikangoja .kisha dk 30 baadae akatuma ujumbe wa kuniomba radhi kwani ujumbe uliokuja kwangu alikuwa anamtumia rafiki yake na kwakuwa namba yangu ya simu ndo ameizoea sana ameshtukia ameisha nitumia mimi.sikumjibu kwa wakati huo kisha nikaanza kuunganisha matukio.kichwa kinaumia nichukue uamuzi gani kwani nimeaanza kupoteza imani nae.Ushahuri wenu jamani
........amuulize nini zaidi ya jamaa kuunganisha dots, na hatimae kufanya maamuzi mazuri kwake na kwa mchumba wakePole sana ndugu,ebu jaribu kumuuliza vizuri na kisha mueleze wasiwasi wako kwani inawezekana hayupo hivyo umfiririavyo
......aongea nae nini tena, huoni kuwa ataharibu uchunguzi wake?Kaa nae then mwambie yote ambayo yana kusibu kwani kwa mtazamo wa haraka kuwa tayar kashakusaliti! Ila kaa nae muongee😱😱😱
... ni mchumba au dem tuu?...kwao ulishajitambulisha na kwenu je?
...fuata ushauri wa @lara1 maana si ndio wadau wenyewePeople lets call a spade a spade!!!!!!!!!!!!!!!!! Mambo gani ya kuficha ficha ukweli!!!!!!????????? Zama hizi za Digitali?
Njia rahisi mtegee mtego ajikaange na mafuta yake mwenyewe!!!!!!!!!! Mdanganye you know everything! every single damn tiny details and you got enough evidence to convict!
But you still wanna give your love another try! So you are going to give her 1 just 1 golden opportunity for her to confess herself, tell you every single detail herself!, and why she did what she did in her own words! Then if she tells everything without omitting any detail from what you already know and promise to repent then you will forgive her whole heatedly and will overlook her misconducts and even forgive her.
Boy you gotta be ready! Some ghosts are too fierce to face! Remember what you don't know can never kill you! But what doesnt kill you makes you stronger!!!!!!!!
All the best in unleashing the dragon!!!!!!!!!!
Naunga mkono hoja
Hapo kuna lipi la kukumiza kichwa mkuu? Majibu yote unayo hapo kwenye nyekundu.Nina mchumba wangu (wakike) ni mwanafunzi wa chuo kikuu kimojawapo hapa nchini.Siku moja nilipata ujumbe kwenye simu yangu kutoka kwenye namba ngeni ukisomeka hivi ("Hapa huna mchumba jamaa wana mega kama nini") sikuelewa nini maana yake.Baada ya week kama mbili hivi siku moja nilimpigia simu mchumba wangu saa 3 na nusu usiku,tukaongea yetu na kisha tukatakiana usiku mwema .lakini sikukata simu yangu na sikuitoa sikioni nae pia hakukata nadhani kwa vile nilipiga mimi alidhani nitakata mimi.kisha baadae kidogo nikaanza kusikia mazungumuzo kati yake na mtu mwingine sauti ya kiume,kati ya mengine mengi niliyo yasikia ni mazungumuzo ya mahaba kati ya watu hao,siku hiyo ilikuwa jmosi ,kesho yake saa nane mchana nilipokea ujumbe kutoka kwa mchumba wangu analalamika kwanini nimechelewa kufika sehemu furani,sikuelewa nikitu gani kinaendelea kwani mimi nipo mbali nae na hatukuwa na miadi yeyote ya kukutana nae sehemu ile,kisha baadae kama dk 10 akatuma ujumbe mwingine akisema yeye amefika akiniuliza nipo wapi?nikazidi kushangaa sikujibu .nikapiga moyo konde nikangoja .kisha dk 30 baadae akatuma ujumbe wa kuniomba radhi kwani ujumbe uliokuja kwangu alikuwa anamtumia rafiki yake na kwakuwa namba yangu ya simu ndo ameizoea sana ameshtukia ameisha nitumia mimi.sikumjibu kwa wakati huo kisha nikaanza kuunganisha matukio.kichwa kinaumia nichukue uamuzi gani kwani nimeaanza kupoteza imani nae.Ushahuri wenu jamani