Linaniumiza kichwa

Linaniumiza kichwa

kabiriga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2012
Posts
1,163
Reaction score
1,213
Nina mchumba wangu (wakike) ni mwanafunzi wa chuo kikuu kimojawapo hapa nchini.Siku moja nilipata ujumbe kwenye simu yangu kutoka kwenye namba ngeni ukisomeka hivi ("Hapa huna mchumba jamaa wana mega kama nini") sikuelewa nini maana yake.Baada ya week kama mbili hivi siku moja nilimpigia simu mchumba wangu saa 3 na nusu usiku,tukaongea yetu na kisha tukatakiana usiku mwema .lakini sikukata simu yangu na sikuitoa sikioni nae pia hakukata nadhani kwa vile nilipiga mimi alidhani nitakata mimi.kisha baadae kidogo nikaanza kusikia mazungumuzo kati yake na mtu mwingine sauti ya kiume,kati ya mengine mengi niliyo yasikia ni mazungumuzo ya mahaba kati ya watu hao,siku hiyo ilikuwa jmosi ,kesho yake saa nane mchana nilipokea ujumbe kutoka kwa mchumba wangu analalamika kwanini nimechelewa kufika sehemu furani,sikuelewa nikitu gani kinaendelea kwani mimi nipo mbali nae na hatukuwa na miadi yeyote ya kukutana nae sehemu ile,kisha baadae kama dk 10 akatuma ujumbe mwingine akisema yeye amefika akiniuliza nipo wapi?nikazidi kushangaa sikujibu .nikapiga moyo konde nikangoja .kisha dk 30 baadae akatuma ujumbe wa kuniomba radhi kwani ujumbe uliokuja kwangu alikuwa anamtumia rafiki yake na kwakuwa namba yangu ya simu ndo ameizoea sana ameshtukia ameisha nitumia mimi.sikumjibu kwa wakati huo kisha nikaanza kuunganisha matukio.kichwa kinaumia nichukue uamuzi gani kwani nimeaanza kupoteza imani nae.Ushahuri wenu jamani
 
Pole sana ndugu,ebu jaribu kumuuliza vizuri na kisha mueleze wasiwasi wako kwani inawezekana hayupo hivyo umfiririavyo
 
Ongea na mpenzi wako na ikiwezekana yawe ni maongezi ya ana kwa ana.
Jaribu kumuuliza kama ana "kidumu", ila mwanzoni jifanye kama haujui chochote.
Ukiona anapinga basi toa shahidi zako na umuhakikishie kuwa unajua mchezo wake.
Halafu baada ya hapo mueleze kuwa umeamua kuachana naye na humuhitaji tena...then uangalie reaction yake.
 
Kaa nae then mwambie yote ambayo yana kusibu kwani kwa mtazamo wa haraka kuwa tayar kashakusaliti! Ila kaa nae muongee😱😱😱
 
... ni mchumba au dem tuu?...kwao ulishajitambulisha na kwenu je?
 
Nina mchumba wangu (wakike) ni mwanafunzi wa chuo kikuu kimojawapo hapa nchini.Siku moja nilipata ujumbe kwenye simu yangu kutoka kwenye namba ngeni ukisomeka hivi ("Hapa huna mchumba jamaa wana mega kama nini") sikuelewa nini maana yake.Baada ya week kama mbili hivi siku moja nilimpigia simu mchumba wangu saa 3 na nusu usiku,tukaongea yetu na kisha tukatakiana usiku mwema .lakini sikukata simu yangu na sikuitoa sikioni nae pia hakukata nadhani kwa vile nilipiga mimi alidhani nitakata mimi.kisha baadae kidogo nikaanza kusikia mazungumuzo kati yake na mtu mwingine sauti ya kiume,kati ya mengine mengi niliyo yasikia ni mazungumuzo ya mahaba kati ya watu hao,siku hiyo ilikuwa jmosi ,kesho yake saa nane mchana nilipokea ujumbe kutoka kwa mchumba wangu analalamika kwanini nimechelewa kufika sehemu furani,sikuelewa nikitu gani kinaendelea kwani mimi nipo mbali nae na hatukuwa na miadi yeyote ya kukutana nae sehemu ile,kisha baadae kama dk 10 akatuma ujumbe mwingine akisema yeye amefika akiniuliza nipo wapi?nikazidi kushangaa sikujibu .nikapiga moyo konde nikangoja .kisha dk 30 baadae akatuma ujumbe wa kuniomba radhi kwani ujumbe uliokuja kwangu alikuwa anamtumia rafiki yake na kwakuwa namba yangu ya simu ndo ameizoea sana ameshtukia ameisha nitumia mimi.sikumjibu kwa wakati huo kisha nikaanza kuunganisha matukio.kichwa kinaumia nichukue uamuzi gani kwani nimeaanza kupoteza imani nae.Ushahuri wenu jamani

kama ua aliekutumia ujumbe kwa namba ngeni atakuwa msada sana kwako. Hilo la simu hata mi limenikuta nkaskia miguno ya hatari sana. Nilipohoji matokeo yake nimeachwa. Yuko chuo kikuu hapa bongo. Nakushauri ukipata ushahidi wowote wa kimazingira anza kumuacha wewe. Maana atakubembeleza ukijisahau anakulipua wewe. Siku hizi ukiwa na girlfrend/mke/ mume hata kama umefanikiwa kuweka ndani mtihani wa 2 unaofuata ni kujua MKO WANGAPI? Mungu alivyo wa ajabu ni kama pembe la ng'ombe halifichiki.
 
People lets call a spade a spade!!!!!!!!!!!!!!!!! Mambo gani ya kuficha ficha ukweli!!!!!!????????? Zama hizi za Digitali?

Njia rahisi mtegee mtego ajikaange na mafuta yake mwenyewe!!!!!!!!!! Mdanganye you know everything! every single damn tiny details and you got enough evidence to convict!

But you still wanna give your love another try! So you are going to give her 1 just 1 golden opportunity for her to confess herself, tell you every single detail herself!, and why she did what she did in her own words! Then if she tells everything without omitting any detail from what you already know and promise to repent then you will forgive her whole heatedly and will overlook her misconducts and even forgive her.

Boy you gotta be ready! Some ghosts are too fierce to face! Remember what you don't know can never kill you! But what doesnt kill you makes you stronger!!!!!!!!

All the best in unleashing the dragon!!!!!!!!!!
 
Kwa maelezo yako tu mimi naona kuna usaliti hapo, ila kwa kuwa hamjakaa kazungumza naye hupaswi kuamua lolote kabla ya hatua hiyo ili ujiridhishe kwa maelezo yake yatakayokupa mwanga ktk maamuzi yako. Najua kitu kigumu maishani ni kuona unayempenda kwa dhati akimpenda mtu mwingine lakini ikiwa hakuna namna ya kuibadilisha hali hiyo ni bora ukafanya jitihada za kuacha kumpenda.
 
Na we anza kumega wanaokatiza mbele yako as if there is no tomorrow, hata mkioana inakua ngoma droo..Laa we kama huezi hayo mambo basi achia ngazi mapema tu/
 
Nina mchumba wangu (wakike) ni mwanafunzi wa chuo kikuu kimojawapo hapa nchini.Siku moja nilipata ujumbe kwenye simu yangu kutoka kwenye namba ngeni ukisomeka hivi ("Hapa huna mchumba jamaa wana mega kama nini") sikuelewa nini maana yake.Baada ya week kama mbili hivi siku moja nilimpigia simu mchumba wangu saa 3 na nusu usiku,tukaongea yetu na kisha tukatakiana usiku mwema .lakini sikukata simu yangu na sikuitoa sikioni nae pia hakukata nadhani kwa vile nilipiga mimi alidhani nitakata mimi.kisha baadae kidogo nikaanza kusikia mazungumuzo kati yake na mtu mwingine sauti ya kiume,kati ya mengine mengi niliyo yasikia ni mazungumuzo ya mahaba kati ya watu hao,siku hiyo ilikuwa jmosi ,kesho yake saa nane mchana nilipokea ujumbe kutoka kwa mchumba wangu analalamika kwanini nimechelewa kufika sehemu furani,sikuelewa nikitu gani kinaendelea kwani mimi nipo mbali nae na hatukuwa na miadi yeyote ya kukutana nae sehemu ile,kisha baadae kama dk 10 akatuma ujumbe mwingine akisema yeye amefika akiniuliza nipo wapi?nikazidi kushangaa sikujibu .nikapiga moyo konde nikangoja .kisha dk 30 baadae akatuma ujumbe wa kuniomba radhi kwani ujumbe uliokuja kwangu alikuwa anamtumia rafiki yake na kwakuwa namba yangu ya simu ndo ameizoea sana ameshtukia ameisha nitumia mimi.sikumjibu kwa wakati huo kisha nikaanza kuunganisha matukio.kichwa kinaumia nichukue uamuzi gani kwani nimeaanza kupoteza imani nae.Ushahuri wenu jamani

.......pole sana, be a man of yourself, mambo ya mapenzi yana mengi sana, usikurupuke, nakushaurianzie kwa yule aliekutumia meseji, tumia intelijensia ya kawaida tu!!!!

Pole sana ndugu,ebu jaribu kumuuliza vizuri na kisha mueleze wasiwasi wako kwani inawezekana hayupo hivyo umfiririavyo
........amuulize nini zaidi ya jamaa kuunganisha dots, na hatimae kufanya maamuzi mazuri kwake na kwa mchumba wake

Kaa nae then mwambie yote ambayo yana kusibu kwani kwa mtazamo wa haraka kuwa tayar kashakusaliti! Ila kaa nae muongee😱😱😱
......aongea nae nini tena, huoni kuwa ataharibu uchunguzi wake?
... ni mchumba au dem tuu?...kwao ulishajitambulisha na kwenu je?

People lets call a spade a spade!!!!!!!!!!!!!!!!! Mambo gani ya kuficha ficha ukweli!!!!!!????????? Zama hizi za Digitali?
Njia rahisi mtegee mtego ajikaange na mafuta yake mwenyewe!!!!!!!!!! Mdanganye you know everything! every single damn tiny details and you got enough evidence to convict!

But you still wanna give your love another try! So you are going to give her 1 just 1 golden opportunity for her to confess herself, tell you every single detail herself!, and why she did what she did in her own words! Then if she tells everything without omitting any detail from what you already know and promise to repent then you will forgive her whole heatedly and will overlook her misconducts and even forgive her.

Boy you gotta be ready! Some ghosts are too fierce to face! Remember what you don't know can never kill you! But what doesnt kill you makes you stronger!!!!!!!!

All the best in unleashing the dragon!!!!!!!!!!
...fuata ushauri wa @lara1 maana si ndio wadau wenyewe

copy: Idimi
 
Last edited by a moderator:
Atakumiza huyo hata ukizungumza nae anajua anachokifanya usikubali kumla kuku kibufu huyo hafai mpotezee usimpigie wala nini akikupigia pokea mwambie sikutaki achana na mimi ndo dawa ye mjanja sana aumie na yeye paka jike.
 
Hizo dalili sio nzuri....and i dont think kama unahitaji uchunguzi, angekua mke wako may be ungeanza utaratibu wa kufanya uchunguzi na mambo mengine! just go straight muulize atachanganya taarifa tu na utampata, na kama atakua mbali na wewe kwa muda mrefu basi ni bora kufanya maamuzi magumu
 
Sijui nikushaurije jamani. Kwani ulimkuta hajatumika? Kama alikuwa kashatumika basi mwache aemdelee kutumiwa.
POLE lakini.
 
Nina mchumba wangu (wakike) ni mwanafunzi wa chuo kikuu kimojawapo hapa nchini.Siku moja nilipata ujumbe kwenye simu yangu kutoka kwenye namba ngeni ukisomeka hivi ("Hapa huna mchumba jamaa wana mega kama nini") sikuelewa nini maana yake.Baada ya week kama mbili hivi siku moja nilimpigia simu mchumba wangu saa 3 na nusu usiku,tukaongea yetu na kisha tukatakiana usiku mwema .lakini sikukata simu yangu na sikuitoa sikioni nae pia hakukata nadhani kwa vile nilipiga mimi alidhani nitakata mimi.kisha baadae kidogo nikaanza kusikia mazungumuzo kati yake na mtu mwingine sauti ya kiume,kati ya mengine mengi niliyo yasikia ni mazungumuzo ya mahaba kati ya watu hao,siku hiyo ilikuwa jmosi ,kesho yake saa nane mchana nilipokea ujumbe kutoka kwa mchumba wangu analalamika kwanini nimechelewa kufika sehemu furani,sikuelewa nikitu gani kinaendelea kwani mimi nipo mbali nae na hatukuwa na miadi yeyote ya kukutana nae sehemu ile,kisha baadae kama dk 10 akatuma ujumbe mwingine akisema yeye amefika akiniuliza nipo wapi?nikazidi kushangaa sikujibu .nikapiga moyo konde nikangoja .kisha dk 30 baadae akatuma ujumbe wa kuniomba radhi kwani ujumbe uliokuja kwangu alikuwa anamtumia rafiki yake na kwakuwa namba yangu ya simu ndo ameizoea sana ameshtukia ameisha nitumia mimi.sikumjibu kwa wakati huo kisha nikaanza kuunganisha matukio.kichwa kinaumia nichukue uamuzi gani kwani nimeaanza kupoteza imani nae.Ushahuri wenu jamani
Hapo kuna lipi la kukumiza kichwa mkuu? Majibu yote unayo hapo kwenye nyekundu.
Huyo mchumba wako ANAMEGWA....umesikia mkuu!? Narudia tena kwa herufi kubwa "HUYO DEMU WAKO/MCHUMBA ANAMEGWA" akili kichwani kwako. Umekuja JF kutaka ushauri...Uwe tayari kuupokea.
Mimi ushauri wangu ni Angalia mwelekeo mwingine Huyo hata ukioa atakupasua hilo ndonga.
All the best.
 
Nina mchumba wangu (wakike) ni mwanafunzi wa chuo kikuu kimojawapo hapa nchini.Siku moja nilipata ujumbe kwenye simu yangu kutoka kwenye namba ngeni ukisomeka hivi ("Hapa huna mchumba jamaa wana mega kama nini") sikuelewa nini maana yake.Baada ya week kama mbili hivi siku moja nilimpigia simu mchumba wangu saa 3 na nusu usiku,tukaongea yetu na kisha tukatakiana usiku mwema .lakini sikukata simu yangu na sikuitoa sikioni nae pia hakukata nadhani kwa vile nilipiga mimi alidhani nitakata mimi.kisha baadae kidogo nikaanza kusikia mazungumuzo kati yake na mtu mwingine sauti ya kiume,kati ya mengine mengi niliyo yasikia ni mazungumuzo ya mahaba kati ya watu hao,siku hiyo ilikuwa jmosi ,kesho yake saa nane mchana nilipokea ujumbe kutoka kwa mchumba wangu analalamika kwanini nimechelewa kufika sehemu furani,sikuelewa nikitu gani kinaendelea kwani mimi nipo mbali nae na hatukuwa na miadi yeyote ya kukutana nae sehemu ile,kisha baadae kama dk 10 akatuma ujumbe mwingine akisema yeye amefika akiniuliza nipo wapi?nikazidi kushangaa sikujibu .nikapiga moyo konde nikangoja .kisha dk 30 baadae akatuma ujumbe wa kuniomba radhi kwani ujumbe uliokuja kwangu alikuwa anamtumia rafiki yake na kwakuwa namba yangu ya simu ndo ameizoea sana ameshtukia ameisha nitumia mimi.sikumjibu kwa wakati huo kisha nikaanza kuunganisha matukio.kichwa kinaumia nichukue uamuzi gani kwani nimeaanza kupoteza imani nae.Ushahuri wenu jamani

kijana demu ukishakuwa mbali nae wala usihesabie ni wa kwako hasa kama yupo chuoni....watu wanajigegedea tuu mwanawane...tafuta mpango mwengine tuu
 
Unaweza kumuacha huyo ukaenda kwa ambaye ni balaa zaidi....wewe pole uliposikia kupitia simu kwamba anaongea na mwanaume ungekata simu then ukampigia saa ili ile na ungemwambia kwamba najua hapo uko na jamaa na sasa naona mie na wewe basi tena then ungekata simu...ungeona moto wake angehaha kama kuku mwenye kideri....nakushauri kaa nae mzungumze yatakwisha tuu ingawa ni ngumu jamani....
 
Piga chini man!huna haja ya kuzunga zunguka.magonjwa mengi sasa hivi.Be a man!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom