Habari za kusikitisha zilizo nifikia hivi punde, zinasema Msanii Linah kutoka THT naye ameanza kutumia cocaine. Haijajulikana ni sababu gani haswa ambayo imemfanya mdada huyu kufikia uamuzi huo mgumu kabisa katika maisha ya mwanadamu, ingawa mtoa habari anasema, sababu zinafanana na zile za Ngwea ( R.I.P ), i.e Linah amedhulumiwa/anadhulumiwa pesa nyingi na Ruge, so kujifariji, ameamua kuanza kutumia dawa za kulevya. Kama hbari hii ni kweli itakuwa ni habari mbaya sana.
Ru~ gay si mchezo.
Anakutumia mwili wako, nguvu yako, akili yako na pesa anakudhulumu. Mbaya zaidi anatembea na wasanii wake wa kike
Hivi hawa wasanii nani kawaambia kutumia madawa baada ya kudhurumiwa waki zao ni njia ya kujifariji??? hebu acheni ujinga. Ninyi si wa kwanza kuzurumiwa. Watanzania wote tunadhurumiwa maisha bora, elimu na mambo kibao kwa hiyo tutumie madawa ya kulevya ili tujifarijii???? narudia acheni ujinga ebo! Baba zenu wanafanya kazi serikalini, wamedhurumiwa vingapi, mbona hawali madawa??? ACHENI UJINGA NYIE LOOOOOOOOOOOOOOOOH! Ngoja nitoke kabisa humu, nitawashukia rasmi one day