Limevunda CHADEMA

CHADEMA wana timu pia ya ufundi inayofanya mazungumzo ya mara kwa mara na serikali.

Wasidanganye watu hapa eti serikali haionyeshi moyo wa kuleta katiba bora wakati timu yao ya ufundi kila mara wako mezani na serikali kila kitu wamekubariana.

CHADEMA wabinafsi sana. Tumewachoka na bla bla zao
 
Mitakataka inaanzisha hoja za kijinga yenyewe na kutumia I'd nyingine kujisupport! Haya, saa hizi umeshachelewa nenda kesho asubuhi Lumumba ukalipwe 7000 yako.

Nyani haoni kundule. Hata na wewe ni wale wale
 
CCM bana....
Badala ya kuibana serikali wao wanaitetea.
Mabunge ya ccm ni kama mandondocha....hanakwenda kwenda tu kama yameshikiwa akili.

Hopeless.
 
mafilili anapost 18:25 zemarcopolo anachangia 18:26 duh kweli mmepania au ndo mambo ya 7000 per post?

Jibu hoja. Kama huna hoja kaa kimya. Swala la nani ameposti saa ngapi halina maana.

Usifikiri mawazo yenu yaliyojaa utengenezaji wa multiple ID's kila mtu anayo.
 
Chadema imeshakufa tangu mwaka jana sasahivi ni makaratasi tu ndio yanajitembeza.
 
Ni ujinga kabisa.NANI KAKUDANGANYA KUNA KUTAPATAPA CDM? WATU WENGINE HOVYO KABISA. LIMTU BADALA YA KUHANGAIKIA MITOTO YAKE ILE LINAKUJA KUANIKA UCHI WA AKILI YAKE MTANDAONI. YOU ARE USED BY MAGAMBA. UTATUMIWA NYUMA NA HATIMAYE MBELE.

kwa upande wangu sijaona kosa ulilofanya mleta mada,naamin anaipenda sana chadema ndo maana katoa kasoro na njia za kutatua hizo kasoro,naomba sisi tunaopenda mabadiliko tuwe tunakubal kukosolewa,kwana anayekukosoa anapenda ufanye vizuri next time
 
Machadema tungekuwa makini tusingemshambulia mleta mada mana ameshauri, ila kwa kuwa vijana tuliopewa kazi ya kuipamba chadema mitandoni tuna upeo mdogo tunaishia kutukana
 
CCM bana....
Badala ya kuibana serikali wao wanaitetea.
Mabunge ya ccm ni kama mandondocha....hanakwenda kwenda tu kama yameshikiwa akili.

Hopeless.

anzisha mada, hapa tunajadili uozo ndani ya machadema
 
stupidity at its finest form.

hamkisaidii chama mnazidi kukizamisha..mleta mada ametoa ushauri..nyie mnaishia kutukana...then who is stupid btn you idiot and the advisor who want to help you
 

CHADEMA ndo habari ya mjini, hutaki chukua dozen ya Topaz meza bila maji...
 
Watanzania siyo wajinga mkuu we tukana tu but siku ikifika usije kufa na presha.
 
Kwa nn asinge muumbua toka akiwa padri
Mpaka aone anatakakuongoza
Nchi ndo ajidai alizaa nae
 

Sikio la kufa halisikii dawa , unapigia mbuzi kitaa mkuu CDM uwezo wao ndiyo umeishia hapo.
 

Unachowaza ni ngono tuu na mambo yasiyo na msingi. Badala ya kutafakari mstakabali wa Taifa unawaza na kuoongelea maneno ya vijiweni. Unakuwaje kama MZIWANDA? KUla kunya kulala kwa mama. Usichangie kwa kutumia masaburi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…