Limevunda CHADEMA

Eti nae anajisifu katoa mawazo yake! Lol kua na akili kama za wana ccm ni aibu tupu.
 

has disrupted
 

Akili ndogo kutawala akili kubwa
 
Zitto unaye msema ni gamba mwenzenu ndio maana mnampenda. Kiongozi yoyote wa cdm hawezi kupendwa na magamba hata siku moja. Mta ng'ang'ana sana lkn muda wa kuondoka umefika.
 
Jukwaa linanuka matusi vijana tubadilike, hizi lugha ndio tunazoziona bungeni
 


una laana wewe swali je unafahamu mkuu wa maccm anao wanawake wangapi na vimada wangapi na idadi ya watoto alio nao unaifahamu? Na akistaafu unadhani huo mzigo wa kuilea hiyo familia nani atabebeshwa?

Kuhusu uzushi je unalo jibu la ilikuwa vipi 2005 wakati wa kampeni Dr Salim akapakaziwa kuwa Hizbu! na unalo jibu kwa nini maccm mliwaita CUF chama cha kiislam, huo ndo uzushi.
 
Jf siku hizi inajaa thread za ajabu ajabu sijui ndio form 4 leaver wetu wapendwa sana wa 2012!
 
Hapa JF kuna great thinkers na walikuwepo for so long. Lakini kwa sasa kumeingiliwa na wahuni, simple minds na watu wanajali fursa zao zaidi badala ya maslahi ya taifa. Ukiangalia wanaochangia na ukasoma between the lines, utagundua au wametumwa au wanalipwa kuanzisha topic isiyokuwa na kichwa wala miguu....!!! This is dangerous for this forum. Looks there is a sense of panic for a click of people as 2015 is approaching!! Let's wait and see.
 
mkuu watu huwa hawakubari ukweli ila ni ushauri wa kweli kwao but nani atapokea ushauri huu make cdm siyo chama make imekuwa kama ngos ya mbowe.
 
kwa nini ndani ya chadema watu hawasikilizwi bali wanaosikilizwa pekee ni mbowe na slaa wegine hawana weled au ni nini.
 
kwa nini ndani ya chadema watu hawasikilizwi bali wanaosikilizwa pekee ni mbowe na slaa wegine hawana weled au ni nini.

Mtei ameinvest pesa zake nyingi sana kuanzisha chadema. Hawezi kuacha watu wawe wanasema tu mambo wanayotaka.

Ndio maana tenda zote za chadema anachukua Mtei.

Hata wewe ungetumia pesa zako kuendesha chama usingekubali watu wakuingilie kwenye maamuzi.
 
hawa wanasiasa wetu wanatupeleka wapi? juzi kunamwanasiasa kaongea kitu cha ajabu kweli nikasema kweli siasa kazi,then baadaye nikasoma gazet la hoja likawa limeandika kuwa zito hatakiwi chadema lakini sababu ambazo zimetajwa za kumuondoa zito nikaona ni uonevu mtupu eti anataka kuchukua nafasi za wenyechama na wazee wa chama hivyo atoswe.
 
Unawivu mbaya we kijana sasa hata mali za mamako unataka??Mamakokawa big g unalalama!nenda wewe upate mtoto mwenye nguvu kama CDM usiogope kwa babu japo itakuwa inauma lakini dawa!:smile-big:
 
Zitto unaye msema ni gamba mwenzenu ndio maana mnampenda. Kiongozi yoyote wa cdm hawezi kupendwa na magamba hata siku moja. Mta ng'ang'ana sana lkn muda wa kuondoka umefika.

mkuu zito mnamfukuza mnatumia hoja gani za msingi, jamani jamani kosa lake nini au kupingana na mawazo ya baadhi ya viongozi wacdm kimtazamo mkubari mkatae cdm bila zito haiwezekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…