Limevunda CHADEMA

wa kujiuzuru ni yule wa kwenu ambaye hajui umaskini wa wananchi wake unatokana na nini?
Zemarcopolo, hivi kwa wiki unatengeneza shilingi chapi kwa thread zote unazo weka hapa? Plus comment za kuichafua cdm?
 

Mafilili nadhani unaumwa akili na hukisaidii chama chenu cha kijani kwa ujinga huu .Nakushangaa unaacha kuona Nchi inazimia na watanzania wanapata adhabu kisa uroho wa ma CCM ,udini , ukabila, mabavu , wizi wa kutupwa nk .

Pole sana
 
mafilili anapost 18:25 zemarcopolo anachangia 18:26 duh kweli mmepania au ndo mambo ya 7000 per post?

ndo maana nikawa namtafuta ZeMarcopolo anijibu naona anakaa kmya...huyu jamaa huwa anapata muda wa kula na kama ni mwanamke wa kumnufaisha mmewe?maana hadi usiku yupo humu ndani
 
Last edited by a moderator:
tahahira mwingine aliyetoroka mirembe. naomba urudi mirembe mkatibiwe akili.
 
MAFILILI kijiji kwetu ni chakula cha nguruwe.....lakini kwa huku singida ni chakula cha kuku...
 
CHADEMA kimejikuta katika kipindi kigumu, huku wasijue kwa kujishikia kabla la anguko kubwa la kisiasa kutokea. Chama kimekumbwa na masahibu makubwa hadi wanazidi kutapatapa kula kukichwa;

Ni kweli CDM wanahaha kila kona, ndio maana chama chenye msimamo na viongozi thabiti CCM wanatumia viongozi mpaka wa ngazi ya Taifa kwa chaguzi za ngazi za vijiji wakiwa na magari kadhaa huku wakigawa noti kwa wapiga kura hali ya kuwa CDM wakitembea kwa miguu na misaada ya baiskeli kueleza sera zao, Baada ya jitihada hizo za makusudi za chama tawala kusaidia CDM imethibitika kushinda chaguzi ambazo tayari zimeshafanyika Pia sasa juhudi zile zile zimeelekezwa arusha kwa M. 42 kila kijiji kwa chaguzi zilizotangazwa. Moyo mwema wa Chama chetu haukuishia hapo, Pia wanatumia Vyombo vya Habari vya taifa, Mabasi kukusanya washiriki wa mikutano, Kugawa Tshirts, Kofia na vitenge Pia Majukwaa ya wasanii kuwasaidia watu kupata taarifa na kuhudhuria mikutano ya CDM ambao wanawageuza wananchi kuwa mtaji wao kwa kuwachangisha katika mikutano yao. Ni jitihada nzuri tunaomba ziendelee na CDM wasijisifu kwa kusaidiwa.
 
yaan ckutarajia kama hii mada na yenyewe ingepata komenti?? Mwandishi unafuatilia kweli bunge kwa umakini wew? Au na wew umeshakalili muongozo?
 
changieni hoja ila msisahau kuongeza bidii kuitafuta shilingi.nimefatilia kuna watu wanacoment kila hoja inayoletwa sasa najiuliza huyu mtu anafanya kazi saa ngapi? ndugu tafuta pesa ili uwe mtu mbele za watu.hoja za kabwela uwishia kwa makabwela.ushauri wabure.siku zote naangalia utaifa kwanza.
 

Great thinker
 
Wewe ni wale walio tayari kufa na Dr. Slaa na Mbowe hatakama unaona jahazi linaenda MRAMA, pole sana
Kuna vyama vingapi vya siasa vyenye usajili wa kudumu hapa Tanzania? what is so special with CHADEMA? Pale Morogoro mkutano wote wa CCM ulitawaliwa na CHADEMA, katibu mkuu alitumia saa moja nzima kuzungumzia CHADEMA! naona huko CHADEMA ni kuzuri sana, basi kesho asubuhi na mapema nitaenda kuchukua kadi.
 
Magamba hamuwezi kumpenda mbowe wala dr. Slaa kwa sababu mikakati yote ya kuisambaratisha cdm imeshindikana,kila kitu kinafanywa kwa sababu mbona ccm haikumrudisha samweli sitta kiti cha speaker 2010?
 
Wewe ni wale walio tayari kufa na Dr. Slaa na Mbowe hatakama unaona jahazi linaenda MRAMA, pole sana

Watu wengine bwana! Sasa likienda mrama si ndio ufurahi badala ya kusikitika ndugu MAFILILI!!!?

Yaani unaanzisha hoja, halafu unajijibu mwenyewe kiasi kwamba tunakuona punguani vile. Eti walio tayari kufa na Dr. Slaa na Mbowe hata kama jahazi linaenda mrama! Mbona wewe upo na CCM ya matusi ambayo imeishiwa hoja na uwezo wa kuwatumikia watanzania?

Kila kukicha hakuna jingine zaidi ya kuhangaika na CHADEMA badala ya kuhangaika na kutimiza ahadi mlizo ahidi kwa waTanzania! CHADEMA inamitesa mbaya yake. Na bado, hadi 2015 mtaisoma namba T2015 CDM.
 
Bado masalia mpo? Ha ha mnaroho ngumu kuliko shetani. Endeleeni kujitutumua. CDM kazi tuu
 
jadili chama chako sasa hamna cha kuongea zaidi ya chadema ukiona mwanaume unamwota sana huyo ndiyo atakuoa. jiandae chadema itawaoa 2015
 
Wewe ni wale walio tayari kufa na Dr. Slaa na Mbowe hatakama unaona jahazi linaenda MRAMA, pole sana

Unajua thread yako inaonyesha hujui kitu na umepost mambo ambayo huna taarifa nayo na undani wake....na ukatoa ushauri kwa jambo ambalo limefanyiwa kazi..ndio maana kakuita hivyo...na komenti yako hii,inaonyesha una chuki binafsi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…